Search results

  1. Bavaria

    Ulimwengu wa Scania unaisha. Zuchu Howo ndio mpango mzima

    Kulinganisha Scania na Howo ni kuivunjia heshima Scania. Mchina anakupa kitu famba kwa bei chee. Sawa na hawa wamiliki wa mabasi wanavyokimbilia kwenye Yutong. Ila Scania anabaki kuwa kwenye ulimwengu wa pekee.
  2. Bavaria

    Naomba kujuzwa namna ya kuingiza gari used toka Afrika Kusini

    South Africa na UK wapi wanakuwa na bei rahisi ya magari? Assume same model, year and condition.
  3. Bavaria

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mtakufa na presha. Na akili yako timamu unadhani kila mchezaji anaeusishwa na Man Utd anatakiwa kweli.? Are you that stupid enough to believe any rumours?
  4. Bavaria

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wachezaji wanaonunuliwa kuuza jezi au kocha anaowataka?
  5. Bavaria

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Apewe hela alete wachezaji anaowataka. Asipopewa hela ataishia kwa kina sabitzer. Mashabiki mna kiherehere sana bila kujua behind the scenes mambo yanavyoenda. Makocha wanahujumiwa sana na management and owners.
  6. Bavaria

    Ikulu mpya na maswali

    Dunia nzima ni masikini. Hata huko ulaya masikini wapo. Hata serikali iseme bajeti yote ipelekwe kuondoa umasikini haitatosha hata miaka 100 ijayo. Wacha vingine vifanyike.
  7. Bavaria

    Ikulu mpya na maswali

    Tanzania ardhi ni kubwa sana. Ikulu kuwa na eneo kubwa kuna umuhimu vile vile. Itapunguza msongamano miaka ijayo watu wakishaanza kujenge kuzunguka. Hii ardhi ya Tanzania haitajaa hata miaka 100 ijayo.
  8. Bavaria

    Hivi unapima mtoto 'DNA' ili iweje?

    Tumeumbwa tofauti. Jinsi tunavyochukulia mambo hatutaweza fanana. Kwangu DNA ni lazima. Hakuna mjadala. Siwezi tolea jasho bao la mtu mwingine.
  9. Bavaria

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    I am not excited with UCL. There is nothing that we are going to do.
  10. Bavaria

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mipango ya usajili inatakiwa iwe imeshaanza sahivi. Na tushaanza kusaini. Ila mpaka sasa hatujui kama hao Glazers watauza au la. Mchakato ni mrefu kidogo hata kama Glazers wakisema wanauza leo. Ambapo mafanikio ya kweli tuyafikirie baada ya msimu ujao. Sio msimu ujao. Tuanze kuwaza kuuza...
  11. Bavaria

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Upo sahihi. Tungekuwa na majembe kwenye zile key areas sahivi tungekuwa kwingine kabisa.
  12. Bavaria

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hatuna wachezaji tu. Kucheza mpira kama wa city ni uongo, tunahitaji wachezaji wanaotafuta ushindi kwa udi na uvumba. Hao wachezaji hatuna hasa strikers na midfield hata kipa. Arsenal sio mara yao ya kwanza kucheza mpira waoacheza.
  13. Bavaria

    Raila kumshtaki Mahakamani Rais Ruto kuhusu vifo vya waumini vilivyotokea Shakahola

    Sidhani kama haya mauaji yalitokea wakati Ruto ni rais wa kenya.
  14. Bavaria

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Sidhani kama mnaweza timiza hili. Watu wengi hawatumii mwendokasi kwasababu ya utaratibu wenu mbovu. Watu kujazana vituoni, kujazana kwenye mabasi. Tafrani tupu.
  15. Bavaria

    Vigogoni gani wataondoka baada ya mkutano wa Kariakoo?

    Mpaka sasa kosa ni la wabunge kupitisha sheria za hovyo zinazokuja waumiza wanaokuja zisimamia.
  16. Bavaria

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ubingwa sio matako kwamba kila mtu anayo.
  17. Bavaria

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ten Hag ameshasema ameanza kupanga timu yake kwa msimu ujao. Kazi kwa owners.
  18. Bavaria

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Watu wanaangalia mafanikio uwanjani. Madrid wapo kwenye league yao peke yao. Tuache kwanza kujilinganisha nao. Tupambane kuangushe ufalme wa Man City kwanza. Tukimaliza ndo tuhamie Madrid.
Back
Top Bottom