Jamani kwa wale ambao mnatumia njia ya chini, Old bagamoyo road a.k.a Mwai Kibaki road, na kuweka mafuta kwenye petrol station ya OILCOM iliyopo maeneo ya Reinbow pale panapouzwa samaki (Njia inayopandisha kwenda kutokea Tangi bovu), kuweni makini na wale wauzaji.
Zaidi ya mara mbili jamaa...
Kuna hii habari imekua ikizunguka kupitia text messages kwenye simu na ningependa kujua ukweli wake humu jamvini na kama kuna watu wamekutwa na tukio hili watoe ushuhuda wao ili na sisi wengine wenye watoto wetu mashuleni tujue tunafanyaja. Kwa sasa naona kama habari hii ni ya uzushi tu. Jamani...
Wana JF, napata shida kidogo kuwalinganisha watu hawa wawili, Mwanasheria Mkuu na Jaji Mkuu. Hivi katika Seniority (ngazi ya madaraka) ni nani yupo juu ya mwenzake. Na tukiangalia katika masuala ya kisheria ni nani ambaye anategemewa kuwa na uelewa mkubwa kisheria zaidi ya mwenzie?
Naomba...
Yani inasikitika kumpoteza huyu Dada Bernadeta Minja (my university mate). She was a career woman na nyota yake ilikua imeanza kung'ara and was a role model of her family. Nasikia amefariki yeye na mfanyakazi wake wa ndani. Mama yake pia alikua kwenye hiyo ajali na amejeruhiwa vibaya kichwani...
Yani mimi sioni hoja hapa. Sasa kama Dr. Slaa ndo anapokea kadi za CCM na kuziweka au kuzichoma mnataka yeye akamkabidhi nani? Ndio ameshajivua gamba na kwa vile yeye ni mmoja wa wale wanaopokea kadi za wanachama wanaozirudisha, then logic inaonyesha kwamba amepokea kadi yake...
Hivi mbona hii habari ya maamuzi ya rufaa ya Lema leo haijaandikwa au kupewa uzito kwenye magazeti ya leo? Kunani? Au ndo imejulikana leo hivyo magazeti hayakuweza kuandika jana usiku!
Hata kama wanaenda kujifunza usafi wa aina gani hakuna sababu ya hao wote kuandamana mpaka Rwanda. Kwani wakienda wachache hawawezi kuja kuwapa hiyo elimu ya recycling wengine.
Alternatively wanaweza kumgharamia mtaalam mmoja kutoka huko Rwanda aje atoe hiyo elimu Tanzania. Hakuna...
Mbona njia mbadala nimeshaitoa kwenye comment yangu. Nilichoshauri ni kwamba waende hao wachache halafu waje wawafundishe hao wengine wakiwamo madiwani. Njia hii itasaidia kupunguza gharama na vile vile elimu itaenea kwa wengi zaidi.
Issue hapa sio kujifunza ila tunajifunza kwa style gani. Sidhani kama ni busara madiwani wote kuandamana kwenda huko Rwanda. Aende Bibi au Bwana afya na afisa mipango miji then waje wawaelimishe hao waliobaki wakiwamo madiwani vyote walivyojifunza huko.
Sidhani kama ni justifiable kwamba kwa...
Ndugu zangu madiwani wa CHADEMA Moshi, kwa hiyo kama huyo Rais wa CCM anatangatanga hovyo kwa kufuja hela za wananchi na sisi CDM ndo tutangetange na kula hela za wananchi bila sababu? Hivi kweli tunahitaji madiwani wote kwenda Rwanda kujifunza usafi? hatuoni aibu? Tuache masihara jamani na...
Ninahisi kuna uhusiano kati ya hukumu hii ya rufaa ya Lema na kufungwa kwa uwanja wa NMC Arusha. Serikali inajua fika kwamba kama rufaa hii itaamuliwa bila haki wananchi wa Arusha lazima waelekee revolutionary square (NMC). Hivyo solution iliyobakia ilikua kuufunga huu uwanja mapemaaaaa.
Ni...
Naipenda CHADEMA ila kwa hili sikubaliani nao. Safari kama hii anapaswa kwenda Afisa mipango miji pamoja na bwana/bibi afya then warudi kuwaelimisha wengine huko Moshi, wakiwamo hao madiwa. Tudumishe accauntability pamoja na ensure value for money.
Naomba kuuliza, hivi kuna kiongozi yeyote ambaye ni Muislam katika baraza la wawakilishi na mawaziri. Nauliza hivi sababu kuna watu wanaihusisha serikali ya Zanzibar na machafuko na hila wanazofanyiwa wakristo visiwani humo. Kama kuna wakristu ndani ya serikali sidhani kama hili linawezekana.
Nimekaa nikatafakari mwisho wa siku sijapata jibu. Hivi ni kwanini inakua vigumu kuuvunja huu Muungano? Hivi ni kweli kwamba sisi watu wa bara tunawaonea huruma sana watu wa Zanzibar kwamba hawataweza kujitawala? Je kuvunjika kwa muungano kuna athari zozote kwa usalama wa bara? Au kuna maslahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.