Search results

  1. okonkwo jr

    SoC03 Huu ndio mwarobaini (Suluhu) dhidi ya mimba kwa watoto wa kike mashuleni na majumbani

    Andiko zuri,hongera sana mkuu,sijawa na kinyongo kwako mwalimu,nimekupigia kura!
  2. okonkwo jr

    #COVID19 Nashauri Serikali ifanye utaratibu wa kupima raia wake Corona

    Mkuu binafsi kuna kitu hii serikali inanishangaza sana tena sana ila basi tu Moja tangu tuambiwe wagonjwa wako 11 Tanzania bara na 3 visiwani,huku bara hakuna updates zozote juu ya huu ugonjwa,ni muhimu sana wananchi wapate taarifa za maambukizi ni watu wangapi wako na covid 19 na ni...
  3. okonkwo jr

    Yanayotokea Kenya ni aibu tupu, tazameni hii video

    I do wonder these Kenyans,they just prefer to imitate what is done by developed countries so as to win loans from those nations,with this stupidity quarantine they have copied from USA and Spain ,but those nations don't treat their citizens as Kenyans do. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. okonkwo jr

    Je nimtafune au nimuache tu

    Life sentence is calling you my young brother,watch out,the society still needs you. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. okonkwo jr

    Mambo ya mapenzi na tendo la ndoa tulioyatoa kwa wanyama

    [ Sent using Jamii Forums mobile app
  6. okonkwo jr

    Mambo ya mapenzi na tendo la ndoa tulioyatoa kwa wanyama

    ! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. okonkwo jr

    Ushauri: Nashindwa kumuelewa mama yangu mzazi

    Mbao 250 mkuu,error in typing
  8. okonkwo jr

    Ushauri: Nashindwa kumuelewa mama yangu mzazi

    Hongera mkuu,Mimi kama ni laana alishanitamkia sana ,lakini cha kushanga nimekuwa mtu wa bahati sana na mambo yanarnda vizuri tu,ila kikubwa nimejiepusha kuwa naye karibu ,huwezi amini hata mwaka bupita bila kusalimiana kwenye simu ,in short I hate my mom,nafanya tu kwa sababu ni mzazi ,over
  9. okonkwo jr

    Ushauri: Nashindwa kumuelewa mama yangu mzazi

    Mkuu hata kama utapewa milioni kama huna mipango huwezi ona manufaa yake,Kiufupi kwa mshahara huu ninaishi kwangu,Nina nyumba ya nyumba viwili na sebure na wala kazi yangu haiba malupulupu ni mipango tu ndugu yangu
  10. okonkwo jr

    Ushauri: Nashindwa kumuelewa mama yangu mzazi

    Mkuu ingewezekana tungeenda wote,mama yangu ni very problematic sana,amashakataa kati,hataki na wala nisijihusishe na hiyo nyumba tena atajua mwenyewe chakufanya,mwanamke ni mwanamke tu mkuu,isitoshe amekuwa katika mazingira ya kulelewa na mama yake tu hivyo naona naye anakaudume ndani yake,kwa...
  11. okonkwo jr

    Ushauri: Nashindwa kumuelewa mama yangu mzazi

    Mkuu hana la kuelewa huyu mama,maana ni mtu anayeishi kwa ushindani na kujionesha kwa watu ilikhali maisha yake ni magumu sana,Kiufupi anamatatizo japo na Mimi ninayo yakutokubali ushauri pale ninapoaminiko sahihi Iwensanto,
  12. okonkwo jr

    Ushauri: Nashindwa kumuelewa mama yangu mzazi

    Tatizo kati ya hao ndugu zangu mwenye unafuu wa maisha ni Mimi,nao kwa namna furani inabidi niwasaidie karena,
  13. okonkwo jr

    Ushauri: Nashindwa kumuelewa mama yangu mzazi

    Kiwanja ni cha kwake,amekataaa kabisa,tens anasema ka unataka nikulaani njoo ufanye nisiyoyataka mimi
  14. okonkwo jr

    Ushauri: Nashindwa kumuelewa mama yangu mzazi

    Nimeshajarbu kumshauri hataki mkuu,ukifika nyumbani kwake utadhani ni mahame au watu wanaoishi pale ni viwete,nyumba imechoka sana ,ila ukitaka kumsaidia maneno yanakuwa mengi,hadi huwa naona aibu hata kwenda kumsalimia,maana hata pa kufikia hapapo,nimejitahidi lakini Hanna,kwakweli mungu anitie...
  15. okonkwo jr

  16. okonkwo jr

    Ushauri: Nashindwa kumuelewa mama yangu mzazi

    Mbao 250 mkuu ,error in typing,huwezi kwenda nae taratibu,nikili kuwa Mimi naye ni mtu wa misimamo sana kunibadilisha nilichonacho kichwani kwa hoja dhaifu huwa ni ngumu sana ,nadhani hapa ndo huwa natofautiana naye yellow eyes,
  17. okonkwo jr

    Ushauri: Nashindwa kumuelewa mama yangu mzazi

    Ahsante mkuu,ila nakuambia huyu mama no hatari sana ,kila unachotaka kufanya hataki Ila kile tu kiko kichwani mwake
  18. okonkwo jr

    Ushauri: Nashindwa kumuelewa mama yangu mzazi

    Habari sana ndugu wa jf? Natumaini hamjambo ,naomba niende kwenye hoja. Mimi ni mtoto wa nne kuzaliwa katika familia ya watoto saba,mama na baba walitengana zamani sana hivyo kupelekea sisi kukulia kwa babu.Kiufupi katika watoto hao saba mwenye unafuu wa maisha ni Mimi lakini hawa ndugu zangu...
  19. okonkwo jr

    Wananchi bado wana imani na matumaini makubwa juu ya Rais wetu

    Nani kaporwa mafao? Sent using Jamii Forums mobile app
  20. okonkwo jr

    Kukua kwa Lugha,tuwe makini tunapotumia maneno haya

    Kiswahili in lugha pana sana, but hilo neno afande limeniacha hoi
Back
Top Bottom