Search results

  1. Facilitator

    Ukiifanyia Tafakuri Tunduizi ( Critical Thinking ) hii ' Kauli ' ya Rais Dkt. Magufuli utagundua kuna ' tatizo ' la msingi mahala

    Senior academic dwarf GENTAMYCINE trying to woo the public with his malnourished street knowledge. Pathetic!!
  2. Facilitator

    Dada yangu madam Flora sasa ndio naelewa Ema ulimvumilia kwa mengi sana

    Simu ni yake, MB anunue yeye alaf umpangie cha kuandika, nenda kakumbatie transformer kama unaona roho inakuuma
  3. Facilitator

    Uhuru Kenya hajui shida, hajawahi kufanya job application!

    Hili linunda Barbarosa limeharibiwa mawazo na lichama lake CCM na mwenyekiti wao. Mnadhani shida ndio kipimo cha utu bora na sifa ya uadilifu. Yaan maccm ni kichefuchefu tuu
  4. Facilitator

    Mpoto na Sizonje kulikoni siku hizi!

    Interesting..
  5. Facilitator

    Yasinta Massawe aweka rekodi ya mchango kwa Tundu Lissu

    Vp bado tuendelee kusubiria na kujiandaa kisaikolojia kuskia lile tangazo la 'suprise' kutoka mjengoni??
  6. Facilitator

    Matukio yanayoendelea Tanzania ya Utekaji, Uvamizi na wasiojulikana Kabila la Wameru lakusudia kuvunja Chungu

    Una uhakika na haya makohozi yako?? Uliza kilichotokea na kinachoendelea kutokea kwa waliohusika. Si mlimtorosha yule mtuhumiwa pale mahakama kuu Arusha eti kwa sinema yenu feki ya kuwapokonya silaha askari?? Jaribu kuulizia kilochotokea. Na tena kwa taarifa yako tu, yule aliyechinjwa alikuwa...
  7. Facilitator

    Kanisa Katoliki lalaani jaribio la kumuua Mh. Tundu Lissu

    7 days zipi?? Lissu alishambuliwa tarehe ngapi?? Wee ulitaka tamko litoke lini labda?? majitu mengine yanawashwa vibaya sana.
  8. Facilitator

    Wazo: Lissu afanye press conference kuelezea tukio akiwa Nairobi, Kenya

    Salaam wana JF, Kwanza naungana na wa Tanzania wenzangu wote kumtakia afya njema na uimara ndugu Tundu Lissu huko Aga Khan, Nairobi Kenya, anakoendelea kupatiwa matibabu. Pili, kwa hali jinsi ilivyo nchini sasa kufuatia tukio la kushambuliwa kwa Tundu, ni wazi kuwa kuna shauku kubwa sana ya...
  9. Facilitator

    Jambo moja limejirudia kwenye matukio matatu

    Umeshaskia kauli ya Jakaya au Mkapa??
  10. Facilitator

    PICHA: Huu ndo utajiri wa bondia Myweather. Wewe endelea kulima matikiti yako

    Sawa. Ila uwe na uhakika kabisa kuwa vitu sio ishara tosha ya mafanikio ya mwanadamu (japo si vibaya kumiliki vitu). Amani na furaha ya moyo ndo kila kitu, regardless of your material possessions whatsoever.
  11. Facilitator

    Ukanjanja wa mtangazaji wa Clouds FM, Hassan Ngoma

    Hayo si ni mawazo yake. Wewe unawashwa nini?? Na wewe si utoe yako..
  12. Facilitator

    EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

    Hehehe, hii comment yangu bora kabisa toka nimeanza kuufuatilia huu uzi..
  13. Facilitator

    Huyu mwanaume simwelewi kabisa

    Duh, kuna watu makauzu asee.
Back
Top Bottom