Search results

  1. M

    Zantel bwana.!!

    Habari wadau wa fb, naombeni audio/mp3 ya tangazo la zantel lile la kunyang'anyana simu. Linasema 'dunia hii nimsimulie nani....' ahsante.
  2. M

    Naomba nyimbo za taifa langu - Tanzania

    Mi naombeni mp3 ya tangazo la zantel lile la kunyang'anyana simu. Linasema 'dunia hii nimsimulie nani...'
  3. M

    TCU, selection lini?

    da mi mwenyewe nashangaa sana kwa sabb mpaka hivi sasa npo net lakini ndugu yangu naona ni chenga TUUUUUUPUUUUUUU!!!!!!!!!!!!
  4. M

    Mapenzi na kandanda

    Pole sana,lakini punguza hasira.
  5. M

    Bungeni chonde-chonde jamani

    Kwa wabunge wetu.Jamani wanapoiandaa hiyo katiba mpya mimi naomba ishu ya 'RAIS AMBAYE YUPO MADARAKANI KATIKA KIPINDI HUSIKA'. Iwepo sheria inayomuondoa madarakani pindi za uchaguzi na kuliachia kazi jeshi lisimamie nchi.Ili naye aonekane kama mgombea wa kawaida. Tazama nchi za wenzetu tatizo...
  6. M

    Tanzanians: Join www.skycrapercity.com

    Well, tutakuwa sote
  7. M

    Jamani MBEYA na Wanamapato!!!!

    Hivi sasa ni heri kuishi bila kuwa na vyombo vya usafiri kama vile magari n.k,hapo mwanzo walikuwa wakilipia parking kwa siku na kiwango kikitegemea aina ya gari.Lakini sasa imetangazwa kwamba michango hiyo ya parking ni kwa saa.Je, tunaelekea wapi? Naombeni mnielimishe mwezenu.
  8. M

    Prof.Makame ndani ya MIST.

    Waziri wa mawasiliano sayansi na technolojia prof.Makame Mnyaa leo hii alikuwa Mbeya katika Taasisi ya Sayansi naTecknolojia Mbeya kwenye mahafali ya 5.Ameweza kuwatunukia wahitimu zaidi ya 200 vyeti vya stashahada.Na pia amewatunuku wanafunzi 8 waliofanya vizuri zawadi mbalimbali.Pamoja na hayo...
  9. M

    Natafuta tempo jamani!

    Ndugu zangu nisaidieni kama kuna ipo.Mimi nasoma chuo cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MIST),mwaka wa pili diploma, idara ya Umeme na Electronics.Nisaidieni jamani likizo ya mwezi wa 12.
  10. M

    waonaje hili?

    Inawezekana ila kitu kuwa na IMANI ya kweli,kwa washiriki.
  11. M

    waonaje hili?

    Inawezekana ila kitu kuwa na IMANI ya kweli.
  12. M

    Elections 2010 Wakala agoma ku-sign

    Haaa? Kusaign tu anagoma! Na kwa taarifa yake Msigwa lazima aingie Mjengoni.
  13. M

    Liverpool mpo?

    Yes,tuwahamasishe bwana!
Back
Top Bottom