Wapendwa ndugu zangu nawashukuru wote mliochangia kuweza kunisaidia. Jumatatu niliweza kufika Amref na kupatiwa huduma zote. Bi. Nyakomba nakushukuru kipekee. Mungu awabariki wote mliochangia.
Sasa mbona unajibu kwa ukali eti fanya shughuli zako kama kawaida kwani nimekuambia nimeacha shughuli zangu? Wewe uliniuliza na nimekujibu. Sasa nimeona kimya. Kukumbusha ndio kosa kangu? Nakuomba uwe na amani tu.
Ndio faida ya kubweteka. Mwanaume umeshamzowea basi unajiachia tu, shauri zao. Wewe ukisema wa nini, wenzio wanawaza watampata lini. Ndoa ni kama bustani, ambayo majani yake hupendeza kwa kuangaliwa na kumwagiwa maji. Sasa wewe ukijidai una bustani halafu hukati majani, humwagilii maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.