Wadau Jana nilipokea simu ya tanesco mbeya kunijulisha kuitwa kwenye interview mbeya kada ya procurement and supply
Naimbeni ushauri kwa wale mliowahi kufanya interview zao
ungeweka vyote ingependeza zaidi mkuu nimeona thread yako moja unazungumzia mtu aliyeeneza dini ya kislamu kwa upanga ulaya halafu unamuita shujaa ndiomaana nikaona uko bias
ili ku balance mjadala mtoa maada umefanya research ya vitabu vikuu vya dini yaani Biblia na quruan maana kwa mtazamo wangu quruan ndio inautata zaidi kama tunavyoambiwa haijandikwa na binadamu sasailitoka wapi? ila tofauti na hapo utakua bias hata upewe sources milioni utategemea upande wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.