Search results

  1. kisepi

    Kama nchi mbili ziliungana zikazaa Tanzania kwa Zanzibar iwepo ila Tanganyika ife?

    Upuuzi kivipi wakati bara tunanufaika tena vizuri,
  2. kisepi

    Paul Makonda: Mimi ni yule wa jana, leo na hata milele. Hakutakuwa na copy ya Makonda mwingine!

    Wanabodi hebu tupeni job description ya mkuu wa mkoa,
  3. kisepi

    Natabiri Dkt. Nchimbi kutenguliwa nafasi yake kabla ya 2025

    Si muunde chama chenu alafu mpeni makonda hicho cheo,ccm dubwana kubwa sana nyie vijana hamuwezi kuelewa,
  4. kisepi

    Ndugu Amos Makalla na ndugu Nchimbi hamna mvuto mmepoa sana wananchi hawawaelewi

    Siasa sio usanii wa kupanda mikokoteni ni mikakati wewe makonda,
  5. kisepi

    Nchimbi: Kiongozi wa kweli habagui anaowangoza. Huwezi kuwa na vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini

    Wazee wamerudi kusimamia chama, fikiria chongolo katibu mkuu alichofanyiwa kwenye ile kashfa unadhani nani alikua salama, ndo mana wakamuondoa pale
  6. kisepi

    Rais Samia achana na Makonda, anaharibu taasisi ya Urais

    Just a stooge, hana lolote atakalofanya,anacheza na akili za watawala,
  7. kisepi

    SPECIAL THREAD: Ushauri, Mapendekezo kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Hizo ni kazi za halmashauri ya jiji sio kazi yake, just a president stooge
  8. kisepi

    Watanzania tuige mfano wa Ujerumani, tunapaswa kumsahau Magufuli na kuweka bidii kusonga mbele

    Ulevi wa madaraka unauita philosophy, baba wa taifa na karume ndo walijenga philosophy ya nchi hii tena siku ccm inazaliwa, akili za Watanzania zinatembea na ccm na katiba hii ,
  9. kisepi

    Watanzania tuige mfano wa Ujerumani, tunapaswa kumsahau Magufuli na kuweka bidii kusonga mbele

    Hitler kapigana vita ambavyo vina faida kubwa kwa nchi kwa dunia, lakini huyu wakuwinda wakosoaji vinaleta faida gani?
  10. kisepi

    Makonda nilikuonya ulipokuwa Mwenezi hukusikia, sasa huko Arusha sikuonyi tena ila utakuja kunikumbuka

    Arusha unaiona juu juu tu,achezee mifumo ya watu ya pesa hapo uone kama hata week atachukua,hao wadudu wanachangamsha jiji tu,
  11. kisepi

    Jaji Warioba: Ukipewa nafasi ukaona inakuzidi sema atafutwe mwingine

    Kuna yule kateuliwa anasema hata akiwa mkuu wa mkoa kwa siku moja sawa tu,unaona kabisa kile cheo hajakitaka,
  12. kisepi

    Msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano

    ni kamishna wa mkoa,kuwaita wakuu wa mikoa ndo mana wengine wanajiona miungu watu mfano huyo makonda
  13. kisepi

    Wakazi wa Rufiji waliokumbwa na Mafuriko wahamishiwe Rombo mkoani Kilimanjaro

    Nchi inahitaji migration, maendeleo ni kuhama na kupeleka ujuzi na marifa sehemu nyingine
Back
Top Bottom