Search results

  1. A

    Mmiliki wa gari ambalo Lissu alilitaja kwa kutumia plate number zake amewahi kulalamika?

    Mimi naona unajitahidi kutaka tuamini kuwa unahusika na matendo ya ovyo katika jamii yetu wakati wewe ni mganga njaa tu
  2. A

    Salum Mwalimu: Hakuna raia anayeweza kumdhuru Lissu nje ya uwanja wa siasa, CCM na Serikali hili liko wazi

    Unaongele binadamu mwenzio! Kama huna cha kuandika kaa kimya.
  3. A

    Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

    Unadhani unaowatumikia wanashukurani. Ngoja siku watakapokugeuka ndio utajua ubaya wa unafiki
  4. A

    Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

    Kweli nimeamini! Mmeshajua kuwa watanzania ni wajinga.
  5. A

    Mbinu za CHADEMA kuichafua serikali zimeshindwa

    Threads fake siku zote huwa ndefu sana!
  6. A

    Mmeshau hata Mwl Nyerere alishitakiwa kwa uchochezi na serikali ya mkoloni?

    Amekukera nini binafsi mbona kama una personal grudges?
  7. A

    Enough is enough, Magufuli amelisababishia taifa hili hasara ya kutosha kwa maamuzi ya kibabe!

    Lisu hana kesi, kinachofanyika ni kuwafanya watanzania wengi hata wajinga wajue kasoro za utendaji wa serikali
  8. A

    Polisi waenda kupekua nyumbani kwa Mbunge Tundu Lissu

    Utasikia "Ni maagizo toka juu". Sasa sijui huko juu ni Mbinguni au dalini??!!!
  9. A

    Mwambieni Magufuli, Nimekasirika!

    Naamini hujaandika kwa niaba ya Watanzania. Ni kwa niaba ya familia na chama chako.
  10. A

    Ruvuma: Dkt. Mashinji (Katibu Mkuu wa CHADEMA) na Viongozi 8, watakaa Korokoroni Polisi kwa saa 48

    Tusitafutiane ban humu JF kwa post kama hizi. Chagua neno mabaya ujitukane mweneyewe kwa kutotumia hekima na akili uliyopewa bure na Mwenyezi Mungu!
  11. A

    Mbinu ya serikali kutaifisha IPTL na Pesa ya Manji

    Statement kama hizi hutolewa baada ya kukosa hoja
  12. A

    Mbinu ya serikali kutaifisha IPTL na Pesa ya Manji

    Acha kukurupuka. Jipe muda kusikiliza mitazamo tofauti na yako
  13. A

    Anafikiri atatupumbaza kwa miundombinu tunayojenga kwa mikopo na kodi zetu?

    Unawaza tofauti na wazo la mleta mada. Umeangalia kishabiki ukapuuza uzalendo
  14. A

    Anafikiri atatupumbaza kwa miundombinu tunayojenga kwa mikopo na kodi zetu?

    Wagonjwa wa akili mko wengi humu!!
  15. A

    SABC NEWS: Magufuli kutoka Rais apendwaye mpaka kuwa dikteta!

    Mwandishi hana alichokizusha cha uongo. Kaeleza kwa makini yanayotokea nchini.
  16. A

    Tundu Lissu anawatumia Wananchi kama daraja tu!

    Ila unamsikiliza Makonda na Nape!! Heeee!
  17. A

    Bilioni 5.8 za UDA zaivuruga UKAWA

    This is too cheap for an argument!!!
  18. A

    Duuh kweli Magufuli ni balaa, hata huyu?

    Thread nyingine ni dhahiri kuwa zinaendana na upeo wa anaezileta.
  19. A

    Ajira zilizositishwa zinataka kumuua mtoto wangu na BP

    Lakini hawa wazee ndio wanajiita wao ni CCM damu hawa?
Back
Top Bottom