Pengine wewe unaona hiyo 10,000 ni pesa ndogo kwako kaa ujue kuna watu hiyo hela hata kwa mwezi hawana uwezo wa kuipata, na sijui kama hata umewafikiria ndugu walioko kijijini. Saa nyingine ni bora kuwaza mara mbili hutapoteza kitu kuliko kufanya kitu kwa hisia
Hawa ndo wasomi tunao wahitaji katika taifa, watu walio na uwezo wa kujenga hoja na kuchambua na hatimae kutoa taarifa sahihi ambayo italinufaisha taifa sio tu kwa elimu lakini pia kwa hasara zisizokuwa na kichwa wala miguu, lakini katika nchi yetu inatokea watu fulani kwa maslahi yao wenyewe...
Wakati unawaza hivyo hebu waza na hili ya kuwa amenunua frequency ya 700Mhz kwa $10M ,weka operational cost zingine hebu pata picha hiyo offer itadumu kwa muda gani[emoji1] [emoji1]
Tz and Ug are big markets for the Ke products but i think Ke is going to win this against it's neighbor countries.Ke has more options and strong economy will favor, it happened before and it will hapen again
Can you share the link with the information of the foreign countries that are fighting to invest or to give loan to Tz government. I will appreciate if i get informed as well as you
Mkuu kumbe na wewe ulisoma hapo nakumbuka tuligoma kula chakula pia nilikuwa form 3 i think, nadhani wanafunzi watakuwa na reason behind sio hiyo tu ambayo imesemwa hapo
Huku Tz kuna project tuliambiwa ime cost 10B Tzs kumbe imecost 54B Tzs so difference ya 44B imeenda kusikojulikana nyie wakenya ndo mnatakiwa kushukuru kuwa na Uhuru ambaye ni transparent hiyo reli wanayosema watajenga kwa 1.5B $ when time comes audit itaonyesha 10B$ itafika time na tuta recall this
Kwenye hii nchi kuna watu wanahitaji adhabu ya kifungo kitakachoendana na kazi ngumu kila siku na viboko angalau 20 asubuhi na jioni na mmoja wao ni polepole na kundi lake la wahuni waliotupa hasara za mabillioni ya katiba mpya na kuitupa[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Well said, yaani watu wanapitisha wenyewe vifungu na sera mbovu.wakija kuona inawabana wakiwa nje wanaanza kupiga kelele, na wasiwasi na huyu mtu huenda alikuwa analala akisikia meza zinagongwa nae anafuata upepo[emoji57] [emoji57]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.