Search results

  1. C

    Kikwete: Mzee Mwinyi alituita Ikulu tulipoketi tu akatuambia amevunja Baraza la Mawaziri na tulipotoka Nje tukakuta Magari yetu hayapo!

    Miaka ya 90 ndipo tulipoanza kuagiza gari za Japan na watu wakayaita MASHANGINGI wakimithilisha na Wanawake wenye maumbo makubwa na matako makubwa ambao walikuwa wanaitwa SHANGINGI enzi hizo na hiyo ilitokana na muundo wa magari hayo ya Nissan Patrol kutofautiana na Land Rover yaliyokuwa...
  2. C

    Kikwete: Mzee Mwinyi alituita Ikulu tulipoketi tu akatuambia amevunja Baraza la Mawaziri na tulipotoka Nje tukakuta Magari yetu hayapo!

    Rais alivunja Baraza la Mawaziri mara mbili. Ya kwanza ni around January/February 1990 na ya Pili ni Ile ya 1994. Ile ya January 1990 ilitokana na tuhuma kuwa Kuna Mawaziri wengi wanakula Rushwa na Serikalini Rushwa imejaa huku mambo hayaendi. January 1990 Waziri Mkuu alikuwa Joseph Warioba na...
  3. C

    Gongo la Mboto 2025: CHADEMA wadai mambo 2 tu kwenye Sheria ya Uchaguzi

    Katiba Mpya ni muhimu sana kufanikisha mabadiliko mbalimbali tunayopigania. Nguvu za Viongozi wa CCM na hata katika kulitumia Jeshi la Polisi Kisiasa inatokana na ubovu wa Katiba ya Sasa
  4. C

    Mzee Mwinyi kinara wa ujenzi ovyo na holela, aliharibu Dar na Miji yetu

    Sikufahamu kama Manzese, Tandale, Mburahati, Kigogo, Kinondoni Shamba, Msasani na vitongojj vingine ambavyo ni squatters na ni miji ya Kale ilianzishwa wakati wa Mwinyi. Despite kwamba Dar es Salaam imejengwa Vibaya lakini hakukuwahi kuwa na Mpango wowote wa kuijenga kimpangilio Kwa Serikali...
  5. C

    Mageuzi ya uchumi na siasa yaliyofanywa na Mwinyi yasitiwe chumvi.

    Nyerere a worst leader of Tanzania
  6. C

    Rais Samia: Mwalimu Nyerere aling'atuka ili kuruhusu Mageuzi ya Kiuchumi na hayati Mwinyi alipewa Kazi ya kuleta Mageuzi!

    Kichwa kwenye Nini? Nyerere ndiye aliyeharibu Uchumi wa Nchi hii Kwa maamuzi yake ya hovyo kwenye Ujamaa, Utaifishaji Mali, Kuminya Uhuru wa kujieleza, kuua Elimu, kuingiza nchi kwenye vita ya Kagera bila sababu na hata kuiingiza nchi kwenye gharama za Ukombozi Kusini mwa Afrika bila sababu za...
  7. C

    Kenya na Tanzania zarejesheana Vibali vya Safari za Ndege

    MK254 na Mkenya Mzalendo Waje watueleze zaidi
  8. C

    Kwanini baadhi ya vitabu vimetolewa katika biblia?

    Aliyeandika hajulikani
  9. C

    Mwanangu Makonda, hakika, hautapata unachokitaka

    Hivi Lizaboni yupo?
  10. C

    Fyatu mfyatuzi na kutengua aliyetaka kunizidi Kete

    Nkwazi Mhango amenikumbusha mbali sanaaa, enzi zile za Mpayukaji wa Msemahovyo kwenye Tanzania Daima. Karibu Tena Kwa namna ingine
  11. C

    Ujumbe wangu kwa wanasiasa wote waislam

    Eti Malaria 2 una undugu na Malariasugu? Maana miaka kadhaa iliyopita alikuwepo member Anaitwa Malariasugu na yeye posts zake aidha ashabikie CCM au Uislam
  12. C

    Gavana wa Benki Kuu ya Burundi akamatwa kwa tuhuma za Ufisadi na Utakatishaji Fedha

    Moja kati ya Imani za Kipagani ni Ukatoliki
  13. C

    Mkoa wa Iringa utolewe Nyanda za Juu Kusini na kupelekwa Kanda ya Kati iwe Pamoja na Dodoma na Singida

    Tabora Dodoma ni kati ya Kilometa 370 Kwa reli au 384 Kwa barabara wakati Tabora Kigoma ni Kilometa 420 Kwa barabara. Kutoka Tabora kwenda Kigoma ni mbali zaidi kuliko Tabora kwenda Dodoma. Tabora to Mwanza (354 Km) ni karibu zaidi kuliko Tabora- Dodoma (380Km) au Tabora -Kigoma ( 420Km)
  14. C

    Mchakato wa mabadiliko Simba umekwama

    Kwani hao 51% ni mtu mmoja mpaka useme Hana nguvu?
  15. C

    Safari yangu Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania

    Mwendelezo wa hii thread ? All about Tanzania life
  16. C

    Ili kutunza heshima, Kamanda atutake radhi au atoe ufafanuzi kuhusu ubora wa Jeshi la Wananchi

    Mwiteni T14 Armata atawafafanulia Kwa Nini sisi tupo namba 6 Duniani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  17. C

    Manchester United has concluded its internal investigation into the allegations made against Mason Greenwood

    Masikini Mason Greenwood Manures ni Wapumbavu sana na lazima watajuta
  18. C

    Anguko la Yanga

    Hii Yanga ni mbovu sana Timu Haina fowadi Wala kiungo Mtengenezaji wa magoli
  19. C

    Nkonkoni na Makambo hawana tofauti

    Ila Kuna Mashabiki wa Utopolo Wajinga sana. Sasa Utopolo Ina viungo gani wanaoweza kulisha timu na ku create chances? Utopolo hakuna timu pale
  20. C

    Bado sina imani na usajili wa Simba

    Hii Yanga isiyo na kiungo wa pasi za magoli Isiyo na fowadi wa maana Isiyo na kiungo wa ulinzi wa maana Isiyo na Hela Ikijitahidi saaana itashika nafasi ya 4 kwenye Ligi
Back
Top Bottom