Search results

  1. Buntungwa

    Nawakumbusha tu zimebaki Siku 4 tu ili JWTZ waanze Msako wa Nguo zinazofanana na Sare zao Majumbani na Mitaani

    mkuuu wamesema nguo zoote hata za majeshi mengine hutakuwi kuwa Nazi wewe RAIA,zipeleke serikali ya mtaa yasije kukupata mazito
  2. Buntungwa

    App ya kutrack simu ili kujua location

    hiii ndio naitaka mimi
  3. Buntungwa

    Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

    Mkuuu nimecheka sana, Huyo amepata alienenepa ndio maana anakuletea ujinga,weeee vumilia tuu nguvu zikimuisha atarudi tuu hapo kwako,,,
  4. Buntungwa

    Je ni sahihi kupekua simu ya mwenzi wako pale anapokuwa yupo au hayupo?

    Mbona yeye amegundua kuna jambo LA kipuuzi na hajakukagua,amekupuuza tu
  5. Buntungwa

    Je ni sahihi kupekua simu ya mwenzi wako pale anapokuwa yupo au hayupo?

    MTU asie jiamini ndio anafanya hayo,unakuta mpaka anaingilia mawasiliano ya simu ya mume au mke kisa nini
  6. Buntungwa

    Nina Mke asiyejua kubembeleza, je nitafute mchepuko?

    Hayo ni mambo madogo tu yani wewe huwezi nyoosha nguo zako? Kuhusu breakfast ulimpa pesa ya maandalizi ili akuandale? Mkuu mpende mkeo,endeleeni na maisha hata wewe unaweza fanya
  7. Buntungwa

    Maji ya baraka ya (RC) vs maji ya upako ya (Mwamposa)

    Wanao tumia ndio wanajua nguvu ya hayo maji na keki za upako tofauti ipo
  8. Buntungwa

    Mfurahie kwa kumfurahisha mume wa wako

    Aaaah Ila kweli inapendeza sana mchombezane atiiii
  9. Buntungwa

    Tabia zipi za Mwanamke au Mwanaume zinaonesha mapenzi yameisha?

    Jiulize kwanza hapo mwanzo ulikuw unampigia simu Mara kwa Mara,Dada hivi upigi simu. Huna hisia nae tena,hujisikii kummiss mwenza wako. Mawasiliano hafifu Chuki mda wote
  10. Buntungwa

    Kamkimbia mumewe baada ya harusi

    Inaonekana binti alimpenda jibaba,Ila huyo binti angeondoka tuu sio mpaka wamchome sindano ya sumu
  11. Buntungwa

    Nimepewa habari kuwa mume wangu ananisaliti, naomba ushauri jinsi ya kusahau jambo hili

    Asante kwa ushauri Siku zote miie huwa mke kwa mume,tamaa tu INAUMA SANA Fikiri tu kidogo mie ndio ningechit na mume wa Dada ake ingekuwaje? YANI HILI SIJUI NILIMALIZE VIPI O
  12. Buntungwa

    Nimepewa habari kuwa mume wangu ananisaliti, naomba ushauri jinsi ya kusahau jambo hili

    Hicho ndio kinachoniumiza,angekuwa in MTU was huko kazini kwake wala nisinge teseka hivi,kinachi nipa shida no WiFi yaaani make wangu Dada wangu kabisa
  13. Buntungwa

    Nimepewa habari kuwa mume wangu ananisaliti, naomba ushauri jinsi ya kusahau jambo hili

    hilo tuu ndio linaloniumiza moyo kama ni kweli wamechit
Back
Top Bottom