kwani hoja ni chadema au ukionacho katika picha?cna imani na aliyekutuma,yangekuwa mawazo yako ucngejibu hivyo!ila chadema ipo na kuna kitu imefanya ndo maana unaizungumzia!
Chenge yupo sahihi katika tuhuma zake dhidi ya Sitta?Kama wagombea nafasi ya spika ni hao wawili,kura yako ungempa nani?mie ntakuwa msimamizi wa uchaguzi huo!
Hvi unajua maana ya udini,ukabila na ujimbo?naamini fikra zako mgango,unaamini usichokiona wala kukijua!tafakari upya,soma mada na hoja mbalimbali ujifunze,mwonesha njia daima amepitia,hao waliokueleza udini,ukabila na ujimbo sio wanachadema,waulize vizuri na urudi upya!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.