Kama ulioa shape kaka hahahaa wewe leta wenge ukaokote mashaoe kama hatujashare mzigo wako...halafu urudi hapa utuambie... Hakuna rangi hutaona, siku hizi kupata mwanamke wa kuwa mke na kukaa na watoto na kukuheshimu na akatulia ni ndoto. kama ni hamu itakuja tu ili mradi usiwe mzinzi. Mara...
TBL Batch yenu ya tarehe 21 September, 2017 kwenye saa 4.13 hivi ina bia yenye ladha ya Apple nhisi ni Reds. Mnatuharibia kwakweli, hii ni bia ya Tatu wiki hii naikuta.
Kakagueni niko Mbezi Beach hizi bia na fanyeni uchunguzi.
Its very simple, tafsiri ni moja tu! Capitalist yeyote anae invest kwenye nchi inayoendelea na maskini kama yetu, mazingira mazuri ya uwekezaji ni rushwa, mifumo dhaifu isiyosimamia sheria na upendeleo hata kwa mambo ambayo ni hatari kwa watu maskini na nchi kwa ujumla. Na hilo ndio...
Chumvi imetumika sana kibiblia na inatumika sana na waganga. Super natural power hazihitaji science, zinahitaji strong spirit.
Salt was widely and variably used as a symbol and sacred sign in ancient Israel Numbers 18:19 and 2 Chronicles 13:5 illustrate salt as a covenant of friendship. In...
Azam media imekuwa ikisifika kama chombo kilichoiubuka kikiwa na taarifa zenye hadhi, ubora, weledi na zisizokuwa na mrengo wowote.
Siku za hivi karibuni tunashuhudia wakianza kuwa na tabia kama ya tabloids au Udaku. Inachefua sana, vichwa vya habari nusunusu viliyokaa kichochezi na...
Watu wanapemda fitina na majungu dah, issue hapo, ni fuel consumption, usage na rekiability. Ethiopian Airline na Japan ni wajinga kuliko sisi? Acheni hizo. Kwanza kampuni ya ndege kubwa kama hiyo haikubali kashfa hata maana hizi ndege zikija huku zinapandwa na watu wote wakiwemo Wamarekani.
Yaani unategemea uwe mpinzani wa CCM halafu wakupigie kura? Au Upinzani wanaweza kuwapigia kura CCM? Unalowaza haliwezi kutokea isipokuwa tu, siasa za wanaogombea zikiwa ni siasa zisizo na takataka ambazo angalau zina apreciate pale mpinzani anapofanya vyema na kukosoa pale panapostahili...
I think you have shared enough photos, I understand you are so excited, just calm down we just don't want you to end up loosing your concealed identity.
Radio Uhuru na Gazeti ni vya Chama! Lazima viongee yao ya kisiasa wanayojisikia.
Chombo cha Serikali kinapaswa kiwe proffessional, stratergic na kikubalike na watu wote kama chombo cha Umma.
Serikali ina utajiri wa technical team, aidha wanaamini katika chama tawala au hawaamini, lakini wako ndani ya serikali ya Chama cha Mapinduzi. Wote hawa wako busy wakifanya makuu, huku wakiwa na mda mchache sana wakuelezea makubwa na mafanikio waliyoyafikia. Serikali hii inafanya na imefanya...
Shikamoo bwamdogo Ruge (Namna ya mila ya Kiswahili kumheshimu mtu mwenye uwezo tofauti)! Uliouonyesha ni Uongozi (Leadership)! Umeongea in a very sensitive manner, honesty, umeitumia nafasi kurepair team spirit, na umeadress vyema hoja za wateja wako na conserns za partners wako katika biashara...
H
ilo Jembe ni 24V na ni 4.2CC liko stable sana barabarani yaano off road unaweza piga drifting na halinyanyuki na speed ya kufa mtu, ila lina meza mafuta aisee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.