Search results

  1. K

    DR. Mwakyembe na Natural Justice

    Na JK alitakiwa Kuhojiwa.
  2. K

    NCCR yameiva: Kafulila kuvuliwa uanachama Jumamosi!

    WWaambie hao yapo mapandikizi ya magamba yanajitia UCDM ili yavuruge! utawatambua kwa matunda yao!!
  3. K

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    FF ni mabaki yale ya 1990s ya kutaka kusilimisha Africa baada ya kushindwa "HASIRA KAMA MTOTO MWENYE UTAPIAMLO" kila siku uislam , ukristo. uislam, ukristo, uislam ukristo these parots"!!!!
  4. K

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    Kwa hiyo vita yako ni ya ukatoliki!! myopic!
  5. K

    A coincidence or consensus?

    What did you expect? For Government whose president does not command respect and authority! Dreams of old good days where a regional meeting was postponed due to absence of the Nyerere are gone! The old good days where hundreds of regional leaders would scramble for the wise advises from...
  6. K

    Sh 64 bilioni zatumika sherehe za Uhuru!

    Moderator tuondolee vilaza kwenye jamvi letu. Kama huyu anapersonalise matumizi ya fedha za walipa kodi. Hizo hela ni zako na ndugu zako. Je ndivyo ulivyotaka zitumike!? Can you really justify this nonsense by such a weak argument?!!
  7. K

    Tanzania kushiriki kuishambulia IRAN

    Siamini hili ila ninaogopa kwa huyu Kiongozi BULICHEKA tuliyenaye anaweza kuanza (kigugumizi cha kutokumaster lugha) teh teh teh we (kigugumizi) will support USA teh teh yes teh teh teh yes. Ndugu zangu tukifikisha 2015 salama na kuongozwa na huyu tutoe sadaka ya kushukuru nchi nzima!!!
  8. K

    CUF waridhia uamuzi wa JK; Wampongeza kusaini muswada mabadiliko ya katiba na kumuunga mkono

    Wife ni wife tu hata mtofautiane atakusifu. Ona haya maneno "sheria itarekebishwa" utetezi baada kutoka bed yaani! sheria iliyosainiwa itarekebishwa lini? Sheria kandamizi, sheria ya kijinga Ok hata wife anatakiwa asione uozo wa Mumewe! hongera CUF kwa kuwa Mke mwema. Jengeni dola ya kitandani.
  9. K

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Minaomba usimkumbuke Mwinyi! aliyefanya ikulu kuwa danguro la wahuni wakimwita shemeji. Hivi yule jambazi wa kwanza wa madini yetu Siti yuko wapi?!
  10. K

    Kigugumizi cha Membe katika vita dhidi ya ufisadi...

    Nimeipenda hii/ WaTZ wote wanatakiwa wawe macho kuona chui walio katika mavazi ya kondoo wakitafuta urais. Utakumbuka JK 2005 alikuwa mkali na tukampenda kuhusu ufisadi na kuahidi kuushughulikia kikamilifu! Lakini alipopata tu urais alitumia neno "tutawashauri" mafisadi waache. Aliongea akisema...
  11. K

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Anamtetea Bishoo jaakaya asiyejua hata kwanini tuka maskini!! Anatetea UISLAMU!!!basi hana kitu kafisilika na kiriba cha roho!!
  12. K

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Hata ulivyopost inaonyesha unafiki na prejudice ya hali ya juu! on "NYERERE 'HAKUWA NA MAPUNGUFU' LAKINI ALIKUWA KIONGOZI MBOVU" Unakubaliana na lipi kati hizi contadicting statements?! mnafiki mkubwa. UDINI unauleta wewe kwa ujinga wa kujemga hoja! Unaposema waislamu hawakuwa/hawana na chuki na...
  13. K

    Kwanini Mwalimu Nyerere aling'oa reli ya Dar-Lindi, Mtwara, Nachingwea?

    Kweli mambumbumbu mmejaa humu. sijawahi kusikia hata baba wa vilaza JK akimwita Nyerere baba wa taifa! anaishia na "mzee nyerere" Hivi hizi chuki mtaendeleza hadi lini? au UDINI? umaskini wa fikra? au umeaminishwa na kulishwa ahadi hewa za tende za bure kutoka kwa wajomba wa jangwani? pole sana...
  14. K

    Walimu watangaza mgomo nchi nzima

    Minjago haielewi yenyewe ni kutumwa tu kupiga tunapoisaidia ipate haki! yanaponea Rushwa!!
  15. K

    Kuikomboa CCM: Watanzania huu ni wakati wa maamuzi magumu!

    Hata majini ya bwagamoyo yakishiriki presidaa for 2015 must be from the Northern highlands. Tuliwaachia marginalised groups so a s to empower them but they have abused the powers!! no more mercy!!
  16. K

    Kuikomboa CCM: Watanzania huu ni wakati wa maamuzi magumu!

    Sasa wewe unatoa dawa kwa maiti!!!?? CCM ni maiti inayonuka hakuna ushauri/dawa itakayofufua maiti iliyokufa!. Siwezi kusema chochote hapa! For your info wote vijana uliowataja mioyo yao iko kwingine CDM! na hata hao wazee time will tell!!
  17. K

    Diwani CCM Dotto Mtawa ashikiliwa na polisi kwa wizi wa gari

    TBC itangaze hili kama Zombe alivyomshikilia bango mpiganaji Lema. Magamba wapo wauza unga wakuu, majambazi wakuu, wauaji wakuu, in fact Magamba ni Mafia wanaoshikilia serikali kama columbia na vinchi vya latin amerika
Back
Top Bottom