Search results

  1. M

    Prof. Muhongo ammaliza rasmi Mhando; Mama Rwakatare naye alipuliwa!

    hiii sinema imeanza. sasa wacha tutulie tuone nn kinaendelea. huwezi jua huenda huyu jamaa anaerusha kung fu kwa sasa na kuonekana stering kumbe adui. wacha tuangalie hadi mwisho
  2. M

    Mgombea W. Malecela aendelee kufundwa!

    kibunango njoo zanzibar tukupe majukumu
  3. M

    ADC yapata usajili wa muda.

    wakati ndio utaosema
  4. M

    Zitto kweli ni wakati muafaka kutangaza hili?

    mtendee haki jamani huyu kiumbe wa mungu, mengi ulioyasema ni uongo wa wazi. juzi tumemuona akihenyeka kule mwanza. na hao wengine wala hawajapita. huwezi jua pengine ndivyo walivyopanga kuweni simple na jiulizeni jee amevunja katiba ya chama chake ? na kama hajavunja kuna kosa gani ?
  5. M

    Zitto kweli ni wakati muafaka kutangaza hili?

    kosa la CUF ni pale walipofinya demokrasia na kuamini katibu lazima awe maalim Seif na mwenyekiti awe Lipumba na yoyote anaezungumzia kuhusu hayo basi anapaswa kulaaniwa nilidhani mambo kwa chadema yatakuwa tofauti. kumbe ni yale yale
  6. M

    Naomba kujua kiasi kilichopatikana jana kwenye harambee ya CHADEMA

    Chadema kila kikiendelea kinatutisha, kinatufanya tufikiri mara mbili kuwa chama hiki kinaweza kushika mamlaka na nchi kuwa kwenye amani chadema kimekuwa ni chama kinachopingana na misingi ya uwazi na demokrasia, nnashangaa sana kuona chama mabacho niliamini kuwa huenda kitatuvusha hapa...
  7. M

    Mkutano wa CCM Kata ya Tindigani aibu tupu! Watawaliwa na matusi badala ya sera

    nimesoma kwa utulivu sana hii habari kwa kweli niliaminishwa kuwa ww mheshimiwa mchafu sana, mzinzi tena umekula mke wa swahiba yako wa karibu, wengi walikuja na kuleta hizo habari. baada ya kusoma utetezi wako kwa hili nimeamini kuwa hakukuwa na ukweli juu ya hili, pole sana kwa kuumizwa ww...
  8. M

    Zitto: Ndio ninautaka urais

    nimesoma makala vizuri, kuna mengi mheshimiwa ameyaandika, hili la kuzungumza jinzi akina J J Mnyika na Mdee kwenye chadema, ina lengo la kuwajenga ? au ndio kuwabomoa. watu waone kuwa kumbe ni watu walioingia chadema kwa kusit sita, kwa hio ni maopportunist. mheshimiwa sidhani kama ni sawa...
  9. M

    Mkuu wa Wilaya ya Liwale afia Guest House!

    rest in peace
  10. M

    Baraza la mawaziri kuvunjwa. Mwakyembe, Mwandosya kutoswa

    Waziri Mkuu amchague awe Dr Slaa na waziri wa Fedha ampe Zitto na waziri wa michezo na starehe ampe Mbowe aunde serikali ya mseto kama kule zanzibar mambo yataenda vyema
  11. M

    JK awazundua Watanzania 'ULOFA wenu' ndio unawawaliza!

    kauli hii iko kweli, na hapa tulishaliongea sana
  12. M

    Baadhi ya Wazanzibari wapinga Tanzania kudai eneo zaidi la mpaka wa bahari kuu

    mwaka huu mtasema sana na akina hamza wao asili yao ni wapi ,,,,,,,,,,
  13. M

    Baadhi ya Wazanzibari wapinga Tanzania kudai eneo zaidi la mpaka wa bahari kuu

    umefatilia mjadala barazani ? kama umefatilia utajua kuwa si jussa bali sauti ya wazenji
  14. M

    Mgogoro wa CUF wazidi kusambaa

    kwa kweli tunasubiri nn kitajiri. tusiwe watabiri zaidi wakati mambo yatawekwa hadharani
  15. M

    Wazee Kumi na Saba (17) Waliodai Uhuru wa Tanganyika

    hawa kumi na wasaba mbona wanajulikana tokea kale. au lilozidi ni lipi ?
  16. M

    Nimeupenda sana ujumbe wa hii picha...Waajiri watuangalie jamani!

    huyu bread kwakweli? kwa nn bread mwanamke? hapa kuna ujumbe gani?
  17. M

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    ila tusikate tamaa nnaona vijana wanajipanga na kucheza mpira sasa
  18. M

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    duh tumeliwa sisi
  19. M

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    wache wachelewe ila mwisho watavua na tutawatomba tu
  20. M

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    leo ngoma nzito ila lazima yanga lazima tumle kileja
Back
Top Bottom