Search results

  1. L

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Makamu wa Raisi yupo, cheki Millard ayo kwenye picha alizopost now utamuona...
  2. L

    Nahitaji Accounting & Financial Audit Services

    Hi John!! Icheki private message nimekutumia....
  3. L

    Nahitaji Accounting & Financial Audit Services

    Mkuu...nmekutumia Private message.. Ichek bas boss wangu
  4. L

    Natafuta MTU wa Part time-Marketing

    Sijakusoma EdSon
  5. L

    Natafuta MTU wa Part time-Marketing

    Nipo dar Faridah....karibu
  6. L

    Natafuta MTU wa Part time-Marketing

    Mimi ni muajiriwa lakini pia huwa nafanya kazi zangu binafsi za kuandaa financial statements, and other Accounting issues like VAT etc, nilikuwa natafuta mtu wa marketing, awe ameajiriwa au hajaajiriwa, ambae atatafuta wateja kwa muda wake yaani wateja wataokuwa wanataka kufanyiwa uhasibu...
  7. L

    CISA (Certified Information Systems Auditor) review classes

    Namba uloitoa haipatikaniki...nisaidie kujua examination fee na vikolokolo vingine yaani jumla yote ili kabla sijaja kusoma, nijue natafuta shilingi ngapi....Thanks
  8. L

    TRA tax assistant officers

    0222125506.....wacheki namba ndo hiyo mkuu.
  9. L

    Uvimbe kwenye mayai ya mwanamke (ovarian cyst)

    Ulipata hospital gani my dear....?at least I can breath, ni pm unipe number yako....
  10. L

    Volunteer kwa Aghakhan

    mi nipo hapa...sema uliomba kitengo kipi? pia uje hr ufatilie..ukikaa mbali kuna wenzio wana shida zaidi yako, na wengine wanaletwa na wazazi wao...so wewe njoo ulizia mchakato upoje....
  11. L

    Msaada tumbo kuuma mara kwa mara na hedhi haina muda maalum

    thanks mzizimkavu...nimeku email....
  12. L

    Msaada tumbo kuuma mara kwa mara na hedhi haina muda maalum

    Dr. Mzizimavu..dawa za kisunna kwa ovarian cysts hazipo?
  13. L

    Uvimbe kwenye mayai ya mwanamke (ovarian cyst)

    Nimeambiwa nina ovarian cysts...naweza pata ujauzito? naogopa sana
  14. L

    Vacancies- UDSM

    Afu pia, do analysis kabla ya kuropoka,,,utasutwa bure siku nyingine, nani kakwambia yupo hapa mjini? we ng'ang'ania tuu kwenye hili jiji kunuka la dar, utakufa unaendesha ki-vitz tuu....
  15. L

    Vacancies- UDSM

    Sasa mapovu ya nini dada...:smiling:? kwa taarifa yako, ile kazi sikuwa namjua mtu, na wote tuliopata tuliitwa fresh from school, na hilo kabila unalijua wewe unalosema,na pale tulikuta kuna ukabila wa kichaga, ila mie mtu wa nyanda za juu kusini, na kazi yenyewe ilitangazwa 2010 november...
  16. L

    Vacancies- UDSM

    Pole mkuu, ila usiache kuomba hata moja, mimi kazi yangu ya kwanza niliyopata, walitangaza nafasi tatu za watu kwenye auditing firm (medium), afu experience ya 3 years, na mimi nilikuwa ndo nimetoka chuo,nikatuma tu hivo hivo,mungu mkubwa nikapata kazi......kuja kucheki CVs za watu nilioapply...
  17. L

    Vacancies- UDSM

    UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM VACANCIES The University of Dar es Salaam invites applications from suitably qualified Tanzanians to be considered for immediate employment to fill the following vacant posts: 1. (a) Job Title: Director of Human Resource and Administration (1 Post) (b)...
  18. L

    Vacancies- UDSM

    UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM VACANCIES The University of Dar es Salaam invites applications from suitably qualified Tanzanians to be considered for immediate employment to fill the following vacant posts: 1. (a) Job Title: Director of Human Resource and Administration (1 Post) (b)...
  19. L

    Vacancies- UDSM

    Tuachangamkie hizo nafasi wadau..
  20. L

    Tra change of venue

    Position ya assistant accountant kaka,,,,
Back
Top Bottom