Search results

  1. M

    Baadhi ya Wazanzibari Wapinga Muungano wadai kura ya maoni kuhusu Muungano

    It is best thing to be poor in worth, but very worse to be mad in thinking
  2. M

    Baadhi ya Wazanzibari Wapinga Muungano wadai kura ya maoni kuhusu Muungano

    Sasa ukiishaitwa NG'OMBE tutarajie nini kutoka kwako? kama sio akili za king'ombeng'ombe nini cha maana utakachoweka hapa watu watafakari?Umri wako Jee? maana kama unataka kunitia kichefuchefu vile.
  3. M

    Mtei kasema UKWELI ULIOSHINDWA KUTAMKIKA, tuache unafiki!

    PUMBAVU SANA,Ujinga ni nafuu kama mgonjwa anatibika,lakini mpumbavu ni sawa na kumpa maiti dozi. sio mimi Biblia ilishaandika Mpumbavu hata ukimuweka pamoja na mahindi kinuni kisha ukatwanga pamoja nayo hautomtoka upumbavu wake. haya hapo ulitaka kutufundisha nini unajitia unachukia huku...
  4. M

    Mtei kasema UKWELI ULIOSHINDWA KUTAMKIKA, tuache unafiki!

    Na wewe unasema? hakuna asiyejua kama wakristo wakichukia nchi itakuwaje,tunajua kanisa lina tume ya majeshi (Armed Force) Tunajua Rwanda kanisa lilifanya kazi gani Tunajua Nyerere alilipa kanisa nafasi gani hapa nchini Tunajua kwamba waislam ni 65% ya wananchi wote wa bara hilo halipingiki mimi...
  5. M

    Baadhi ya Wazanzibari Wapinga Muungano wadai kura ya maoni kuhusu Muungano

    Umri nao unakusumbua hujui usemalo,huna historia ya muungano unaropokwa tuu,jiulize nani anautaka muungano je ni watanganyika au wazanzibar? Wazanzibar hawana shida na huo mnaouita muungano bali watanganyika ndo maana JKN alipiga kelele sana kuhusu fikra za watu walotaka kuuvunja muungano.
  6. M

    Nimeshindwa, Nahama Chadema

    Haya!!!!!!!!maajabu mengine hayo watanzania tutafakari MIMI...................NAAPA KWAMBA NITAKUWA MWAMINIFU KWA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA KWAMBA NITAIHESHIMU,KUILINDA NA KUITETEA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ILIYOWEKWA KWA MUJIBU WA SHERIA EE MWENYEZI MUNGU...
  7. M

    Nimeshindwa, Nahama Chadema

    Ama kweli waswahili walisema Nyani haoni k......!!!wewe unamshutumu mwenzio kwamba hajui democracy,democracy gani uijuayo wewe usiyetaka kumpa uhuru mwenzio wa kuamua anachotaka?Democracy Is for people by the people to the people. hapo uhuru wa maamuzi ni wa mtu binafsi wala hashinikizwi na wewe...
  8. M

    Elections 2010 Kikwete alivyowanunua wamasai

    Tanzania bila uzushi inawezekana always we need evidence which can never be edited.haya na wale wa Dar nani aliwanunua na kwa laana ya nani?Watanzania tuna kawaida ya kulipuka lakini kwenye utekelezaji mbio ndio zetu.
  9. M

    Swali kwa Great Thinkers Tu.

    True lakini mbona unaanzia kupoteza ndugu zako?mwanamapinduzi wa kweli huwaza kupotea yeye kwa ajili ya wengine sio wengine wapotee kwa ajili yake.mandela alienda jela kwa ajili ya wasa wote sio aliwapeleka jela watu kwa ajili yake sema "ikibidi tupotee sio tupoteze ndugu zetu"upo hapo?
  10. M

    Mandamano ya kupinga uchaguzi mkuu tanzania,kufanyika washington dc usa

    Ama kweli Tanzania inaliliwa hata na magogo wewe hujashiriki uchaguzi kimbelembele cha kuandamana kinatoka wapi? uchaguzi umefanyika Tz maandamano Washington Huna ushahidi wa wizi wa kura unapokea tu kama kasuku NO RESEARCH NO DATA NO RIGHT TO SPEAK.U GOT NO RIGHT TO SPEAK CAUSE U DON'T HAVE...
  11. M

    Elections 2010 Breaking News: CCM wanamuandaa KINANA kuwa spika wa bunge

    Hatujafika bado? from kuvaa makatambuga (matairi)viroba mpaka kupambana na ufisadi hewa?safari gani tunayoitaka?
  12. M

    Elections 2010 Uthibitisho wa kikao cha la cairo huu hapa

    Paulo usitumiwe,ujinga huo hapo hata mimi naweza kufanya na mkubwa zaidi ya huo kwa elimu yangu naweza kukutengeneza wewe unafanya mapenzi na mnyama na hakuna atakayebisha,msitupeleke RWANDA mpeni ushauri Slaa amrudie mungu atubu kwa udhalilishaji (Sifa kuu ya mapadre wa katoriki) arudi...
  13. M

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    UDINI!!!!!hivi hujamuona huyo jamaa yako Slaa alivyowaweka wachungaji kugombea nafasi za ubunge hapo mawaziri wangekuwaje? na nyie wachunga kondoo nini kunako siasa??????
  14. M

    Tunamwomba Ridhiwani Kikwete atoe ushahidi kuthibitisha kweli hakuwepo nchini.......

    Niliwahi kukushauri kuwa fanya mambo yako kwa ushahidi kwa mujibu wa hicho cheo ulichojipachika Public analyst,Ridhwan hakusema alikuwa nje ya nchi alichosema "kwanza kwenye hicho kikao chenyewe kinachodaiwa kufanyika sikijui na hiyo hotel yenyewe kinaposemwa kikao kilifanyika sijahi kuingia...
  15. M

    Sharif Hamad adondosha chozi...!

    Nimefurahi sana you are advicing people to be wise hivi hao wanaotukana wanatumia hekima gani? kumwita mtu mzinzi lazima aidha awe ametembea na mtu wa nyumbani kwako,ndugu yako au uone tendo lenyewe linafanyika nani ana ushahidi wa hayo kama sio chuki hasama na husda?
  16. M

    Sharif Hamad adondosha chozi...!

    Huo ndio ukweli sio kila kitu kinaweza kuwekwa hapa unapotaka shortly ni waraka ambao ninao ukiutaka nitafute huu nimeutoa usikoweza kufika,halafu kuna diwani mmja aliambiwa laivu hatuweki wa.....................kwenye nafasi za ugombea mtasema kweli au kweli iwahukumu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  17. M

    Sharif Hamad adondosha chozi...!

    Haukuwa usanii tuliouzoea ilikuwa ni hali halisi Sharrif hajawahi kufanya usanii sasa hukuangalia ulijuaje kuwa ni usanii?any way Zanzibar imeshinda sio CCM wala CUF bali ni wazanzibar CCM 50.1% CUF 49.1% bado huku BARA watu wametupwa kwa mbali bado wanalilia ushindi naanza kupata taswira ya...
  18. M

    Sharif Hamad adondosha chozi...!

    Ukweli Hamad ni kifaa CCM wamekubali kuwa kuna vichwa hapa nchini havijafanyiwa repair yaani origino kabisa sio kichwa cha slaa kina viraka kibao UDINI,UKABILA,UBINAFSI NA................Zanzibar ni moja na wazanzibari ni wamoja daima ubabaishaji mwiko.
Back
Top Bottom