Search results

  1. K

    Elections 2010 Hapa city katikati kuna nini? Naona wachakachuaji (FFU) wanapita Ohio Str mbio!

    kuna shughuli ya kutangaza mshindi wa urais,zoezi linaendelea hapa viwanja vya karimjee, ila nasikitika baada ya watu kususa kupiga kura pia wamesusa kuhudhuria sherehe za kumtangaza mshindi. Wana JF nipo hapa eneo la tukio viti ni vitupu hakuna watu wa kutosha ila mpaka sasa wagombea...
  2. K

    Elections 2010 Halima Mdee kunani?

    habari kutoka magic fm zinasema halima kashinda naomba na wengine wathibitishe
  3. K

    Elections 2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

    e bwana naomba japo aina ya maswali aliyoulizwa na majibu aliyotoa
  4. K

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    naomba msaada kwani nimetaka kuutach picha ya kuuzwa kigamboni nimeshindwa
  5. K

    Elections 2010 Kampeni ya CUF live on TBC1 Taarab kwa sana

    nchi haihitaji taarabu na usanii wa aina hiyo,kinachohitajika kwa sasa ni DR. slaa kwani ni mtu makini kwenye maswala ya kitaifa
  6. K

    Tulichosema kuhusu Kigamboni kimetimia: Tukimbilie wapi?

    wana JF ndugu zangu mie nimekuja habari mpya ya jinsi JK alivyouza kigamboni yote kwa bush. naomba mjionee wenyewe. nawatumia pia program ya kuwezesha kutazama picha hiyo kama utakwama. AMKA NCHI INAUZWA NA CCM
Back
Top Bottom