Nashon: Kwa hiyo ulienda hadi Morogoro kukutana na magaidi nakuwa Mobilise wafanye ugaidi?
Shahidi: HAPANA SIYO MAGAIDI
Mahakama: Kicheko
HATIMAYE URIO KAKIRI MBOWE SI GAIDI
Hauko peke yako ndugu, ukisikiliza hotuba ya Mkuu wa Nchi unategemea kufarijika na kujenga matumaini mapya, lakini enzi za Kinjekitile ni kufokena na makasiriko tu, ya nini kujiongezea stress....
Nafikiri kuna jambo hukulikamata vizuri katika hotuba yake. Ameongelea ile namba ya wataalamu iliyoko kisheria anaokuja nayo mwekezaji, wakati wa ku-renew work permit kulikuwa na usumbufu mkumbwa. Hiyo ndiyo aliyoingelea,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.