Search results

  1. E

    Zitto Kabwe mwenyekiti mpya kamati ya PAC

    Hongera mheshimiwa Zitto, wale waliokuwa wamekata tamaa baada ya POAC kufutwa, sasa matumaini yamerudi. Tunakuaminia, kachape kazi kijana.
  2. E

    Filamu ya Ray iitwayo 'Sister Marry' yapigwa marufuku na maaskofu

    Na bora ipigwe marufuku. Kwa upande wangu huwa simwamini Ray katika suala zima la ubunifu! Nyingi amekuwa akimuiga marehemu Steven Kanumba, sasa baada ya kufariki ameanza kuiga wanaigeria, sasa matokeo ndiyo haya, anaiga hata vitu vya kutia aibu si tu wakatoliki bali watanzania kwa ujumla.
  3. E

    Maelezo binafsi ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe dhidi ya tuhuma za rushwa kwa Umma

    Njia ulizopendekeza, zitatupatia ukweli, sasa hao wanaoanza kuhukumu bila shaka watakuwa na sababu binafsi. Pole Zitto kama unataka kutuaminisha katika hayo uliyoyasemana jipe moyo, ukiwa msema ukweli na mpenda haki daima utazungukwa na maadui, kwani watu wengi ni wale wasiothamini utu, haki na...
  4. E

    Zitto tena kachafua hali ya hewa bungeni

    Jamani, tuweni makini katika michango ya mawazo yetu hapa jamvini, na wala tusikubali kutawaliwa na itikadi au jambo lingine linalofanana na hilo!, Zitto, alikuwa anatania na muda mwingi walikuwa wakibadilishana mawazo na huyo Lissu hata kabla ya kuchangia. Na baada tu ya kusema maneno kuwa...
  5. E

    Mnyika fanya kazi yako, la sivyo 2015 utashindwa ubunge

    Kumbe Elimu ya uraia bado ni tatizo kubwa. Mnyika kama mbunge ni mwakilishi wa wananchi, anachofanya pale ni kuwasemea wananchi kuhusu matatizo waliyo nayo katika jimbo lake, likiwemo hilo la maji na mambo mengine! Kazi ambayo amekuwa akiifanya kwa asilimia ya juu kabisa. Linapokuja suala la...
  6. E

    Filikunjombe: Sikwenda Kigoma kumsafishia yeyote njia

    Asalaam alleikum wanaJF, nimepitia kwa umakini mkubwa hoja iliyoletwa mbele yetu na michango ya wachangiaji. Ki msingi mimi sioni tatizo la Zitto kuonyesha nia ya kuutaka urais (kama kweli ndiyo ilikuwa nia yake ya kuandaa hafla hiyo). Si mara ya kwanza kwake kuonyesha nia hiyo, kwani siku...
  7. E

    Kweli CCM hakuna mbunge

    Nimemsikia mh. Livingstone akihojiwa akasema anashangaa mama ntilie kuwa na laini nne wakati yeye ni mbunge na ana laini moja, akasema tuishi kulingana na kipato, je kwa kauli hiyo amezingatia maisha halisi ya mtanzania? Mh. Lusinde, kuwa na laini nne, si kuongeza matumizi! wanaofanya hivyo...
  8. E

    Dk 45 ITV: Kwanini wapinzani hawaalikwi humu?

    Ahsante kwa kuweka thread hii jamvini, mimi nimewahi ku-comment mara kadhaa juu ya uboreshaji wa kipindi hiki. Kama ni viongozi wawe wale wote wanaowajibika kwa wananchi, si wale tu walio serikalini! Kama ITV ingelikuwa ni ya serikali, hapo sawa. Kama ni viongozi wa kisiasa, si hao tu walio...
  9. E

    Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

    Rais katumia haki yake ya kikatiba. Kwa wengine sawa, lakini kwa Mbatia nadhani hakufanya maamuzi sahihi, labda kama itakuwa ni kwa maslahi ya chama cha Rais! Hofu yangu ni kwamba akina Mkosamali hawatakuwa na nguvu ya maamuzi tena kama walivyokuwa wakifanya, kama vile kususia bunge! Nalisema...
  10. E

    Mh. Mbassa (CHADEMA) ashinda kesi jimbo la Biharamulo Magharibi

    Naomba nitumie fursa hii kueleza kwa kifupi Oscar ni nani, Dr. Mbassa, na kesi waliyokuwa wakikabiliana nayo! Oscar William Mukasa kabla ya uchaguzi wa mwaka 2010 alikuwa ni Mbunge wa Biharamulo magharibi kupitia CCM (Biharamulo ni moja kati ya wilaya 6 za mkoa wa Kagera, na wilaya pekee...
  11. E

    Mjengwa unamuaibisha shemeji!

    Inafurahisha!
  12. E

    Nimesikitishwa na Watanzania!

    Binadamu tunatofautiana vionjo (sijui kama ni neno sahihi)! Kuna watu wanapenda mieleka na wako radhi kuacha kila kitu, ili mradi tu waangalie, wengine mashindano ya mpira, wengine maigizo, n.k! ili mradi tu kila mtu ana kilevi chake. Inawezekana kundi kubwa ni la wenye ulevi wa filamu, na kwa...
  13. E

    Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

    Ni wazo zuri, lakini kwa upande wangu si liungi mkono moja kwa moja kwasababu kuu mbili; Ikitokea akashindwa kwa namna yoyote ile, itakiathiri chama kuitetea hali hiyo! Kwa propaganda na siasa za kitanzania navyozijua, wabaya wake watapandia pale kuwa yawezekana hata Urais hakuwa ameshinda...
Back
Top Bottom