Search results

  1. M

    Kabudi kwenye Dual citizenship

    Hili suala la kua na dual citizenship lilianzishwa na chama cha upinzani Chadema 2005 pamoja na sera za kua na majimbo lipo kwenye sera za Chadema ,CCM walivyoona wakataka kulidandia tu lakini sio lao naona linawashinda,kama una mawazo kua kutakua na dual citizenship chini ya CCM labda...
  2. M

    Tundu Lissu yale yale uliyoyasema....

    Achani kuzunguka mbuyu kama wale walio sign hii mikataba walihongwa mkawatafute muongee nao wakubali kuisaidia serikali kua walipokea rushwa na wawape ushahidi wa kutosha hiyo inatosha kuvunja hiyo mikataba yote ila kama mnaogopana basi tatizo litabaki pale pale,ongeeni na wahusika tu ni watz...
  3. M

    Ushauri: Upo uwezekano wa serikali kuweza kuvunja mikataba iwapo rushwa ilitolewa

    sikujua kama nilikua nafanya mtihani wa kiingereza hapa ,ila naamini, i know and i can speak english with confidence than most of you guys,just repect others opinion and dont bring unrelated topic on others thread, i hope no offence guys
  4. M

    Ushauri: Upo uwezekano wa serikali kuweza kuvunja mikataba iwapo rushwa ilitolewa

    kama ni wazalendo na wapo tayari kuisadia Tanzania inabidi wafanye uamuzi mgumu kwa faida ya Taifa ,sababu hii ni vita kati ya taifa lao na wageni wanao pora mali za nchi yetu,pia naamini hata bila kuomba kama serikali imedhamiria ushaidi unaweza kupatikana wa kuweza kuwa implicate wahusika na...
  5. M

    Ushauri: Upo uwezekano wa serikali kuweza kuvunja mikataba iwapo rushwa ilitolewa

    Wewe mwenyewe kiswahili hicho hukijui,sababu UTELEWEKA ndio nini?wengine wamenielewa tu hata ningeandika kiswahili kuna wengine hawakijui pia kama wewe unayetaka nikiandike wakati sentensi mbili tu umeandika imekushinda.
  6. M

    Ushauri: Upo uwezekano wa serikali kuweza kuvunja mikataba iwapo rushwa ilitolewa

    Ikiwa wahusika walipokea rushwa wakubali wawe mashahidi wa serikali mahakamani I will like to advice my Government ,how as state we can fight back on those called exploitative contracts signed by Government Official ,please this is just advice and if anybody else got more idea we can share it...
  7. M

    Ushauri: Steve Nyerere sasa soma alama za nyakati

    Natumaini atakua ameelewa mchezo uliochezwa hapo ,na ajaribu kujumlisha na kutoa atapata jibu amegonganishwa kichwa na mwenzie amekubali kirahisi,
  8. M

    Steve Nyerere aongea na Wanahabari, amkaanga Wema Sepetu na Mama yake, Wasanii hawaidai CCM

    Jamani msiwe wa kali wa kuamua hapa inawezekana hawa jamaa wamegonganishwa vichwa tu na ......,kama unaongea na rafiki yako mambo ya siri then mtu mwingine wa tatu anawa record kwa siri halafu anatoa siri yenu hadharani,then huyo mtu wa tatu anakuita kwa siri anakuambia unajua mwezio ndio katoa...
  9. M

    KISUTU: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

    kweli mkuu naona hilo linakuja tpaul
  10. M

    KISUTU: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

    OK statement of offence ya serikali {mimi sio mwanasheria} naomba wanasheria watutupie utaalamu wao hapa,matamshi ya Lissu kote anasema Tanganyika je kuna nchi ya Tanganyika? Serikali inataka tuamini Tanganyika ndio United Republic of Tanzania? je jeshi la tanganyika liko wapi?.....ambalo Lissu...
  11. M

    Advice how the Republic of Tanzania can terminate all exploitative contracts

    Kweli Nena kama ulivyosema conflict of interest hapo inabidi JPM mwenyewe amue kubadili ofisi ya mwanasheria mkuu kuwaweka pembeni wote waliohusika na hiyo mikataba , kuhusu zile za radar ile kampuni BAE walivunja sheria walikua na issue ya kutoa rushwa saudia arabia sasa kuna taasisi inaitwa...
  12. M

    Advice how the Republic of Tanzania can terminate all exploitative contracts

    nimekupata sana bro nilitegemea wahusika ambao ni intellectual hata wakienda huko kwenye icc international court of arbitration ni kimombo sio kiswahili na bro hata ukitafsiri pia kiswahili tunajua kuzungumza tu ukifikiria technical words nyingi hatuziongea sana imagine mtu andike somo la...
  13. M

    Advice how the Republic of Tanzania can terminate all exploitative contracts

    Ningependa kufanya hivyo bro hebu nishauri unafanyaje ? Kuituma huko downing street ! Ila hii mada inawahusu wa tz wote tu , haina ubaguzi ni mada ya wachangiaji wote kama ulivyofanya tunashukuru kwa kuchangia kwako
  14. M

    Advice how the Republic of Tanzania can terminate all exploitative contracts

    I will like to advice my Government how as state we can fight back on those called exploitative contracts signed by Government Official ,please this is just advice my Government and if anybody got more idea we can share it ,i believe we have lawyers in this forum who can came with more clever...
  15. M

    Mbio za sakafuni za Saed Kubenea kufika ukingoni mapema?

    Naona mtoa mada ume quote vifungu vya sheria mimi sio mwanasheria na sijaenda kuvipitia, sasa kama ni hivyo kweli kama ulivyo viweka hapo SHERIA IMESEMA KIFUNGO KISICHOZIDI MIEZI SITA na sheria ya uchaguzi imesema KIFUNGO KINACHOZIDI MIEZI SITA kwa hiyo hata kama atashindwa kesi akafungwa...
  16. M

    Sakata la kuficha hela ughaibuni: BoT yamkana Mbowe, Kufungwa miaka 14?

    Mimi sio mwanasheria wala kifungu walichotoa sijaenda kukiangalia sasa kama ndio kinasema hivyo sidhani kama kitamuhusu Mh Mbowe, (1)refer kifungu kinasemaje RAIA sasa kama ni kampuni hazihusiki na hicho kifungu, (2)Kifungu kinasema kua pia raia anaruhusiwa kama anaishi huko ughaibuni kufungua...
  17. M

    Tigo, Airtel na Voda maumivu, TCRA mpo wapi?

    kama ndugu yako alikua nje ya tanzania (kenya uganda rwanda au popote)akiwa anatumia line yake ya voda tanzania ni kweli atachajiwa hela kupokea na kupiga simu na gharama ni kubwa pitia vipeperushi vya kampuni yako ya simu utaziona zimeandikwa {roaming cost} kikubwa kupunguza gharama ndugu yako...
  18. M

    Mzee Tendwa wanachofanya CHADEMA ndiyo matumizi sahihi ya ruzuku?

    kwa kifupi tu CHADEMA hawategemei hela ya ruzuku pekee,wana hela zilizochangwa na wanachama pia ambazo zitatumika na zinatumika katika kuendesha chama,sasa utuambie kama hela alizokopa zilitoka kwa fungu la ruzuku au kwenye michango ya wanachama wa CHADEMA,na sio mikopo tu kumbuka hela kama...
Back
Top Bottom