Search results

  1. D

    Ofisi ya DPP nalo jipu?

    Hawa matajiri wanaishi na kufanya biashara Jijini Mwanza lakini ni wenyeji wa kijiji cha Kindi Kibosho wilaya ya Moshi Vijijini na mauaji yalifanyika nyumbani kwa matajiri hao kijijini Kindi Kibosho. Ndugu wa marehemu pamoja na wanakijiji walijitahidi sana kumwokoa marehemu na wenzake watatu...
  2. D

    Ofisi ya DPP nalo jipu?

    Mwaka 2012 ofisi ya DPP ili enter nolle prosequi katika kesi ya mauaji inayowakabili matajiri wanne wa Jijini Mwanza wakiongozwa na John Joseph Kisoka maarufu kwa jina la "Magazeti" baada ya kesi hiyo kukosa nguvu kwa vile matajiri hao ambao ndio key suspect walikuwa hawajakamatwa. Baada ya...
  3. D

    SMS ya siri kwa Rais Kikwete yavuja, mtumaji asimamishwa kazi

    Mhasibu wa Hospitali ya Rufaa KCMC, Paul Mhumba amesimamishwa kazi kwa tuhuma za kutuma ujumbe wa simu ya mkononi (sms) kwa Rais Jakaya Kikwete. Kuvuja kwa ujumbe huo na nambari ya simu iliyotuma, kumeibua hisia tofauti kuhusu usiri wa ofisi ya Rais katika kushughulikia malalamiko nyeti ya...
  4. D

    Kashfa nzito Jeshi la Polisi Kilimanjaro, Rais aombwa kuingilia kati

    Jisomeeni barua ya ndugu hawa kwa Rais hakika kama kweli IGP Mangu anajua umuhimu wa haki kuchukua mkondo wake basi kamata hawa wauaji mara moja na fukuza Polisi walioiba file na kuwapelekea hao wauaji.
  5. D

    Kashfa nzito Jeshi la Polisi Kilimanjaro, Rais aombwa kuingilia kati

    Rais Kikwete anatakiwa afahamu kuwa matendo ya dhuluma za aina hii ndio yanazidi kujenga chuki kati ya raia na jeshi letu la polisi. Hivi kwa hali ya kawaida kabisa inawezekanaje ndugu washurutishwe kwenda kutoa maelezo upya tena mbele ya polisi wale wale ambao walikula njama za kuiba original...
  6. D

    Kashfa nzito Jeshi la Polisi Kilimanjaro, Rais aombwa kuingilia kati

    Baada ya JamiiForums kujadili Kashfa hii ya Polisi Mkoa wa Kilimanjaro kwenye hii thread "Jalada kesi ya mauaji, laibwa ofisi ya RCO Kilimanjaro", hili swala limechukua sura mpya baada ya ndugu wa Marehemu Kumuomba Rais Kikwete kuingilia Kati Chanzo: mwananchi
  7. D

    Msaada tafadhali; Nahitaji Helkopta ya kukodi Mwanza

    Mtafute mbunge wa Moshi mjini Mzee Ndesamburo atakukodishia kupitia kampuni yake ya Keys Aviation au mshirika wake wa kibiashara General Aviation Services.
  8. D

    Chopa ya Ndesamburo yaitesa CCM

    Wana JF, Kama mtakumbuka, Jumamosi ya tarehe 18.4.2015 kada wa CCM Moshi mjini, Buni Athman Ramole aliingia katika mkutano wa CCM kata ya Pasua kwa mbwembwe na kudai ameilipia helkopta hiyo hadi Oktoba. Jana kwenye mkutano mwingine wa hadhara amekanusha helkopta ile sio ya Mzee Ndesamburo...
  9. D

    Ndesamburo awalipua Polisi Kilimanjaro

    Hili tukio halina tofauti na lile la mwaka 2000 ambapo Mfanyabiashara Jaffar Abubakar amabaye alikuwa ni swahiba wa RPC Kilimanjaro wakati ule Mohamed Chicco na IGP Omar Mahita, alimuua bwana mmoja kwa kumfunga kamba mikononi, kumwagia mafuta ya taa kisha kumchoma moto. Yule bwana aliungua kwa...
  10. D

    Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

    Polisi mjini Moshi wamezingira msikiti wa Kwamtey mjini Moshi muda huu wakishuku kuwapo kwa watoto wadogo kati ya 30 na 50 kutoka mikoa mbalimbali nchini wakifundishwa imani kali ya dini ya kiislamu na mafunzo ya Karate. Operesheni hii inaendelea wakati watoto wengine 119 kutoka mikoa 12 nchini...
  11. D

    Maskini Mji wa Moshi

    Maskini mji wa Moshi, Hadhi ya Mji wa Moshi inaporomoka kwa kasi kutokana na barabara zake za lami kukithiri mashimo makubwa bila kufanyiwa ukarabati kwa muda mrefu. Leo barabara ya kwenda KCMC ni hatari kwa wagonjwa wanaokimbizwa kuokoa maisha yao kutokana na mashimo barabarani. Uzuri ule...
  12. D

    Msaada wa haraka/modern gate

    Wana JF, Naomba msaada wenu kwa mtaalamu wa mageti ya nyumba ya chuma. Kwa yeyote mwenye picha tofauti tofauti anisaidie please wezi wananinyemelea. Naomba picha za mageti ya kisasa sio la ku-slide. Nawashukuru wana JF maana najua hapa ni kila kitu
  13. D

    Msaada wa haraka wana jf

    Asante sana Baba Wawili 2012, Umenipa somo kubwa sana ambalo kwa nchi za wenzetu nilipaswa kulipia. Nakushukuru sana tena sana.
  14. D

    Msaada wa haraka wana jf

    asante sana Dattan kwa ushauri mzuri. Nitazingatia maana nilikwenda kucheck bs kichwa kilikuwa kinauma ndio huyo lab technician akashauri nipime na typhod lakini nikakuta bs ni negative isipokuwa widal test ambayo majibu yake yalitoka kama baadavya dk 25 au 30 hivi jambo ambalo si la kawaida sana
  15. D

    Msaada wa haraka wana jf

    Asanteni wana JF walioonyesha kuguswa na tatizo hili. Nawashukuru kwa ushauri. Mimi nilipima tu maabara lakini nimeshtuka kupewa vipimo vya typhod ndani ya dakika 25 wakati niliwahi kusoma mahali wamesema ni within 24hrs ndio majibu yanatakiwa yatoke. Asanteni kwa ushauri hasa Doctor wa JF...
  16. D

    Msaada vipimo vya Typhod

    Asante sana kwa msaada wako na ushauri
  17. D

    Msaada wa haraka wana jf

    Hello JF, Najua hapa si mahala pale lakini shida haina aibu. Nimepost JF Doctor lakini bado sijapata msaada wa haraka. Naomba msaada wa tafsiri ya vipimo hivi vya maabara. Nimefanya Widal test majibu yakasema STO 1:40 na STH 1:160. Naomba kufahamu majibu hayo yanamaanisha nini na kama kuna...
  18. D

    Msaada vipimo vya Typhod

    Hello JF, Naomba msaada wa tafsiri ya vipimo hivi vya maabara. Nimefanya Widal test majibu yakasema STO 1:40 na STH 1:160. Naomba kufahamu majibu hayo yanamaanisha nini na kama kuna ushauri wa kitabibu tafadhali nijulisheni wana JF. Asanteni
  19. D

    HLRC kuiburuza serikali mahakamani kuhusu NSSF

    Mimi niko tayari hata kuchangia fedha za mawakili. Watanzania sasa tumechoka kuburuzwa, tutadai haki zetu
Back
Top Bottom