Search results

  1. Shark's Style

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mie kwenye iphone na access vizuri chamgamoto ilikuwa baadhi ya videos tu ila picha na sometimes videos zinafunguka vizuri maana kunakuwa na links mbili moja inafanya vizuri kwa android na nyingine inafunguka kwa ios ila upande wa picha na kurefresh kwenda next page upande wa android app kuna...
  2. Shark's Style

    Umeme wakatika Nchi nzima Kenya Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta atumbuliwa!

    Kutokuwa na generator means kwao umeme haukatikagi ila kuwa na generator na likagoma kuwaka hayo ndio matatizo rejea uwanja wa Taifa wakati wa Mechi muhimu ya kimataifa.
  3. Shark's Style

    Msaada Waifu anataka kumtimua dada wa kazi, mimi sitaki

    Kumbe ni kweli mnaliwaga na mahouseboy?
  4. Shark's Style

    Wagner na jeshi la Urusi waanza kugombania sifa

    Na vipi kuhusu soledar kuanguaka?
  5. Shark's Style

    Wagner na jeshi la Urusi waanza kugombania sifa

    Kwahiyo ni kweli kwamba Soledar imeanguka Ila kugombea sifa ndio kichekesho kwako ama weakness?
  6. Shark's Style

    Msaada wa Mawazo: Hapa panafaa kujenga?

    Kama Unauwezo zungushia ukuta Ila msingi wa ukuta upande juu Kama mete moja toka kwenye usawa wa ardhi, ndani mwaga kifusi ili nyumba iwe imeanzia juu sana Kama hauna uwezo anza na msingi mrefu sana Baadae utamwaga kifusi na kuzungushia ukuta lengo ukiwa unaingia kwako Basi uwe Kama unapandisha...
  7. Shark's Style

    Kuna watu hawana hela wanajenga, kuna watu tuna hela ila hatujengi

    Heri Angefanya msingi uwe mrefu sana halafu a wage kifusi kuizunguka nyumba akiwa anaingia ndani ya fence anakua Kama anapanda mwinuko nyumba za jirani zitakuwa zinazungukwa na maji yake anakuwa anapeta tu.
  8. Shark's Style

    Mafundi wetu wanakwama wapi?

    Hii bado haiprove kwamba hakuna nguzo, what if tofali ni hollow na ndani wamepitisha nondo na kumwaga zege? Tembea uone na ujifunze zaidi kuhusu ujenzi wa kutumia hollow blocks.
  9. Shark's Style

    Marekani yaonesha wasiwasi kuhusu hali ya Haki za Binadamu nchini Rwanda

    Wameshamchoka bado Museven na bado zelensky
  10. Shark's Style

    Kenya kuanza kununua umeme kutoka Ethiopia baada ya kusaini makubaliano

    Kwahiyo kampuni ya Ethiopia inakuwa inaoperates ndani ya Kenya kama Ken Gen inavyofanya kufikisha mpaka majumbani? Au Ethiopia wanaiuzia umeme Ken Gen ambao wao ndio wanasambaza kwa wakenya.
  11. Shark's Style

    INAUZWA Jipatie ramani kali ya nyumba ya ghorofa moja

    Uzi mzuri Nina site mbezi Pia Acha nijifunze
  12. Shark's Style

    Jetfighter ndegevita Sukhoi35s imeshaingizwa kazini

    Su35 ni tofauti na SU 35s
  13. Shark's Style

    Mradi wa LNG: Tukicheza Vizuri wakati huu ni hakika Umasikini tutausahau Tanzania na Samia anaweza kuwa Rais Bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania

    LNG si ni mradi wa kuiprocess gas’s kupata products mbali mbali zaidi zaidi ni kuisafisha na kuondoa takataka na kuivadilisja form kuwa liquid ili iweze kuwa stored kwenye mitungi kama LPG does LNG and LPG rings a bell in your head? LNG has nothing to do with uzalishaji wa umeme Tafiti kwanza...
  14. Shark's Style

    How to detect if there are negative energies in your house using only a glass of water

    Ukishadetect hizo negative energy inafaa kufanya nini ?
  15. Shark's Style

    Bando lazidi kuminywa, nani mtetezi wetu?

    Hili unapatia wapi hasa hiyo ya 3000
  16. Shark's Style

    INAUZWA Jipatie SATA SSD 500GB laptop yako iwe faster zaidi

    Hizo ni used ama brand new? Mbona hazipo kwenye original packagings?
Back
Top Bottom