Search results

  1. V

    Tulia Ackson Mwansasu, PhD, ananikumbusha mbali sana

    Mkiweza kumtoa mbowe pale juu ndo mje na story zenu za mslopogazi.
  2. V

    Kura ya kupitisha bajeti yapigwa bila kambi ya upinzani kuwepo bungeni, yapita kwa kishindo

    Hoja sio bunge kua live, hoja ni chuki zidi ya naibu speker
  3. V

    Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    Mkuu kuingia moja kwa moja TMA mwisho miaka mingapi kwa mtu wa dgree
  4. V

    Hatimaye yamekuwa: Nancy Sumari anaolewa na Lucas

    Bora wapashe kiporo
  5. V

    G.P.A ya mbunge David Silinde

    Watoto wa udsm mnajipa sifa za kijinga mnamaliza shule kichwani mpo kawaida sana, mmeshindwa kutengeneza tomato, angalieni vyuo kama makelele wametengeneza gari, nyie mnakalia udsm noma noma, ndo maana mnaishia forever living
  6. V

    Dk. Tulia asota Dodoma

    Wakigoma na kuchukua posho ndo nitajua kweli wanauchungu na nchi yao, ila kama wanaendelea kuweka dole gumba kwenye karatasi za pesa ni wahuni tu kama wahuni wengine
  7. V

    Kitila Mkumbo awashangaa Upinzani wanaotetea vihiyo

    wengine wakitaka madaraka ni uchu ile mwenyekiti wenu ni sawa tu,
  8. V

    Nani Alikuwa Bora kati ya Zidane na Ronaldinho?

    Gaucho ni fundi kuliko Zidane, jamaa amewika kipindi dunia ilikua na wachezaji weye uwezo mkubwa, sema ngono tu ndo imempoteza kwenye soka
  9. V

    Hatimaye Samatta aifungia timu yake goli

    hvi hazard ana goli ngapi?
  10. V

    Fly Over 7 kujengwa jijini Dar

    Anaweza asipone kabsaa, maana dawa uangalia na akili ya mtu
  11. V

    Mtandao wa Kenya wasema Yanga Africans inatoka Ghana

    Duh! mara Ghana mara tunis uyo muhandishi ovyo kweli
  12. V

    Gardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku

    jamaa unamtetea boss wako wa laki moja kwa siku kwa nguvu zote, huu mchezo hauitaji hasira
  13. V

    Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza uwanja ndege wa JNIA, Dar. Akuta mashine mbovu...

    Dah! mtu kama wewe unaona ni bora taifa lipoteze nguvu kazi kwa sababu ya madawa ya kulevya, kupitisha pembe za tembo, ni ngumu kupata mpinzani wa kweli hapa africa, sasa naanza kumuelewa lasswel kuhusu wanasiasa wa matumbo yao
  14. V

    Historia ya Jenerali Tumainiel Kiwelu

    jamaa angefaa kwenye uongozi huu sema umri tu umeenda, nakumbuka alivyo kua mkuu wa mkoa wa shinyanga watu walinyooka, kuingia ofisi yoyote ghafla ni kawaida kwake
  15. V

    Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

    ni ujinga kusema maneno kama hayo kwa mtu ambae amekulea wewe na mwanao kama kula kulala kwa miaka yote hyo
Back
Top Bottom