Search results

  1. P

    Baada ya Mbagala na Gongo la Mboto na hapa je??????

    inasemekana Lugalo yapo, Upanga yapo, Changanyikeni yapo, makuburi yapo..... tuombe Mungu tu atuokoe....
  2. P

    Elections 2010 Urais sio rahisi mnafahamu wanajamii forum?

    Hakuna namna ambayo unaweza kuikoa CCM isidondoke wakati huu......someni alama za nyakati ccm imekataliwa Tanzania.... haina mwelekeo wa kumsaidia mtanzania wala Tanzania...inalinda maslahi ya watu wachache badala ya uma.... inategemea nguvu za giza kuliko ushauri wa wasomi....... CCM Imeanguka...
  3. P

    Elections 2010 Matokeo ya awali jimbo la Kilombero na matukio ya ajabu

    kama kuna mwenye kuja matokeo ya kilombero tafadhali ataujuze!
  4. P

    Elections 2010 Dr. W. Slaa: Shujaa wa Karne YA 21

    Dr wa ukweli ni shujaa amewatia wazimu ccm hata sasa wanahaha wote kuchakachua matokeo......... Mabadiliko makuuu yatatokea nyie subiri tu.....
Back
Top Bottom