Search results

  1. K

    Nashindwa kumsamehe mke wangu, ametembea na Mkurugenzi wa Ofisini kwake...

    sidhani kama kumuacha ndo the best soltn...nnachoamini alifanya vyote hivyo ili aweze kukusaidia ww uanze bsnez kama anakuacha ndan asbhi na akirud anakukuta unafkiri anafurahia kuwa na mume wa namna hiyoooo.........my advice..as long as hawapo tena pamoja its gud news wote mnakuwa na a fresh...
  2. K

    Nini Maana Yake?

    hamna kitu ni kutesana na michangooooo tu woiiii
  3. K

    Nirudiane au nisirudiane na mpenzi wangu wazamani?

    pole,haina haja ya kwenda na mtu yeyote as long as u know what u want....kuwa mstaarabu nendawasikilize wakikupa nafasi ya kuongea waeleze unachokitaka.....
  4. K

    Natafuta mwanamke wa kunizalia mtoto wa kike

    shkuru Mungu kwa ulionaooooo
  5. K

    Nahisi sina bahati

    usiwe available sana....
  6. K

    Mke wangu amekiri kunisaliti

    pole sana.....kwa hili la sasa naimani hatafanya hvyo tena....
  7. K

    Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    mkuu niangalilizie bridget ngowi....from St, theresia
  8. K

    Mchumba wangu ni mbinafsi na bahili sana

    hata usimuache....mwanaume atakusumbuaje kirahc hvyo cha msingi kila mtu acontrol invstment yake kwenye mtoto mnapangiana tu kwa mwez anatumia kiasi gan mnajua mnatoaje wala hata asikusumbue.kama mnacontrol invstmnt nyingine pamoja mahesabu yanaonekana kila mtu anachukua yake as long as amekuwa...
  9. K

    Bado miezi michache wafunge ndoa, mwanaume ana mwanamke mwingine tena ana ujauzito wa miezi 4

    mmmmmh hafai mwanaume huyo ana roho ya mauaji.....mtu gan anaekana ukwel bila aibu..i can imagn.Honestly hafai AIBU na MAISHA YA BAADAYE YASIO NA AMANI bora kipi?Angekuwa kwel anampenda atleast angeongea ukwel yaishe as long as hakuball.........akae nae mbal
  10. K

    Majaribu jamani: Kakiri kweli amenisaliti na anaomba nimsamehe, nashindwa kufanya maamuzi

    kufanya kosa sio kosa ila kurudia kosa ndio kosa......mambo ya kumhurumia achana nayo kama unampenda kuwa nae otherwise let her go. kwan wewe hujawaah kuwa na mwngne wkti upo nae ......?
  11. K

    Boyfriend ana majibu ya dharau

    why unawaste muda wako kuomba advice maana its too easy....achana na huyo mshamba
  12. K

    Ushauri: Jinsi ya kuishi na mwanamke mlalamishi

    kaa nae umueleze unavyojickia na umtell kashakuwa mkubwa she should take care of herself mambo ya oficn asilete nyumbani kabisa period......well kuhusu salon na nguo kilakitu mnakaa mnapanga budget ya pesa zenu ipi iende wap na ifanye nin...may be u are the problem mtashindwanaje vitu kama hvyo
  13. K

    Nataka nichukue uamuzi wa kuachana na huyu mwanaume, naombeni ushauri

    unajua ukimzoea mtu unashindwa kumwambia ukwel....hapo anataka uage wewe ili badae usiseme yeye ndo alikuacha.....in short kakuchoka lakini my advice....dont make it easy for him fanya kaz tafuta pesa kwa sasa u treat him da way anvyokutreat cku akitaka na wewe hujickiii.....
  14. K

    Miaka inaenda simuoni ninaempenda

    Usitafute hata maana hutapata umri ukienda utachkua yoyote yule atakayekubali kuolewa na babu au.....chkua m1 ambae kwa akili tu na sio moyo unaona ana vigezo unavyoona vinafaa oa intime u will learn to love her otherwise u are doomed
  15. K

    Nimemharibu mpenzi wangu ila yote kasababisha mwenyewe

    umuache utapata wapi mwingine wa kumfanya labda mashoga......watu bwana.....kwa afya yko ya badae baki nae maana ukioa wanaojielewa hutamfanyia hvyo aiseee labda ukanunue
  16. K

    Hataki unyumba na mimi kisa nina govi

    mmmmh hebu ulizia athari za kuwa na govi halafu upime na mila zenu then utaamua....coz hata ukipata mwingine akiona utamshtua atahisi hauko sawa na hata kuelewa unless otherwise umchkue kijijini kwenu.....
  17. K

    Tunafanya ofisi moja tulikuwa na mahusiano, sasa kaoa nifanyaje nimuepuke?

    Wewe labda ndo unampenda ila mwenziooo walaaa coz ingekuwa hivyo angekuoa wewe.....he is not yours tafuta wako. U leaving da office inaonyesha how weak u are....kwanza unataka kuacha kaz kisa mtu mmmmmh pity.Pray HARDER hilo ni pepo
Back
Top Bottom