Mshahara za dhambi mauti bali karama la Mungu ni uzima wa milele!! Pasco nimewahi kuandika kwenye moja ya mabandiko yako kuwa utawala wa awamu ya tano umejenga chuki ya kiasi kisichomithirika miongoni mwa watanzania! watu wa Mungu tunatakiwa kuwatatkia watu mema hata wanaotuudhi lakini inahitaji...
Kwa hali ya covid 19 ilivyo katika taifa letu ni vigumu kutabiri nani atakuwa rais wa nchi mwishoni mwa mwaka huu wakuu wanamchezea mgeni sebuleni na hajali idadi ya walinzi wanaomzunguka mzee you never know Pasco imagine wale wazee wa kucheza na kura wakati wako busy kuiba mara paap anaanguka...
Pasco tangu mwezi wa pili tumepiga kelele sana kuhusu kuchukua tahadhari kwa sababu tunajua nchi maskini hazina uwezo wa kupambana na hili dude kwa hiyo muhimu ilikuwa kuchukua tahadhari lakini wapi sikio la kufa uliwasikia wakuu wenye mamlaka waliojawa kiburi walivyopuuza yote hayo na kuendelea...
Pasco my brother ulikumbwa na nini ulipoitwa kwa Ndugai siku ile manake uandishi wako unaanza kufanana na ule wa makanjanja kwamba unasema waliojitambua wakahamia ccm kwa hiyo kuhamia ccm ni kujitambua, mwaka huu hakuna uchaguzi kuna maigizo na kuharibu hela za walipa kodi tu there is no fair...
Kwa nini unafikiri ana nembo ya Bunge, wewe unayo?? kama anayo manake anaitumia katika shuguli zake wa kila siku usisahau Zitto ni mbunge ana ofisi yenyedocument za kibunge na siamini kama barua ya Zito ni kwa niaba ya Ndugai! barua yake itakuwa inatoka kwa mbunge wa Kigoma mjini sasa wewe...
Kipimo cha graff kushuka ilikuwa uchaguzi wa serial za mitaa jambo ambalo ccm kwa kutumia watendaji wa vijiji walilivuruga kisha wakapita woote na wewe unajua vizuri kipimo kingine ni rallies ambazo mhimili umewapiga marufuku sasa Pasco wewe unatumia nini to justify your claim?
Kaambiwa ni kwa mujibu wa sharia jengo la umma kuwa na lift halafu logical unajenga hospital bila lift kweli? Maadam speaker kashangilia historia itawahukumu
Kukaa kimya ni busara zaidi katika mambo ambayo usingependa kuyafunua wazi ukisikiliza mahojiani ya mo bbc uanaweza kuapata kichefuchwfu heri Roma aliamua kula pozi na kuwataja kwa style
Kuna mwenye taarifa nini kimetokea kati ya send wave na voda tz manake karibu siku nne sasa tunashindwa kutumia mtandao huu pendwa kwa wale wabeba mabox tunaotuma mboga kwa wazee wetu huko bongo
Ofisi ya AG wako busy na Ubunge wa Lisu hukusikia jana kulikuwa na mawakili wa serikali 15 mahakamani???? vyombo vyetu wa usalama wa nchi visipoacha siasa nakulinda mslahi ya taifa letu basi tutapigwa kila mahali
Pasco usilete utani kwenye mambo ya muhimu kama hili pamoja na nusu bei lakini swali la Mantiki sana jamaa tunajua tangu alipohitimu pale Moshi hajaonekana kwenye biashara milioni 220 si hela ya kitoto kuitoa kama zawadi if this question is not answered today one day this question will comeback...
Ni katika hali hii hii ya nusu bei ninapojiuliza Mr. Makonda amekuwa ha pesa nyingi kiasi hiki lili? kwa biashara gani? manake milioni kumi kumi ni total ya milioni 220 when did Makonda make all these money and how?? ni sawa tu linalotokana na nusu bei
Naona hujui kinachoendelea Kenya Miguna Miguna kwanza ana uraia wa nchi mbili na hata ameshinda kesi waliomtesa wameamriwa kumlipa ksh m 7 toka mifukoni kwao na si kodi za wananchi, watu wa aina yako ndo wanatuharibia nchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.