Search results

  1. B

    Huyu kijana wa jirani nimfanyeje? Kila msichana wa kazi wangu anampa mimba

    No usimbambike kesi ya bunduki...je angemla wife wako si ungempa mada?
  2. B

    Kwanini sitaki kujua kipato cha mke wangu?

    Na ukiona mke anaficha kipato.ujue wazazi/ndugu wanashida na wanataka wasaidiwe kila Mara.ila ni lazima ujue kipato chake.naye ajue chako
  3. B

    Kama hii ikiwezekana, sioi mapema

    Inawezekana.ila akiwa house boy ni vizuri zaidi
  4. B

    Unataka Upate Pesa? Tumia njia hii hapa

    No easy money.
  5. B

    Nimeishi naye ndani ya ndoa miaka mitano, Jogoo langu halipandi mtungi, mke anataka kunitosa

    Sure jaribu kutest nje.tafuta kabinti kazuri kanakovutia hata kama ni Malaya then uchek.kama unajifanya mlokole imekula kwako.wife wako atachezea sana.maana inaonekana anapenda ako Ka mchezo ndo maana akuvumilii
  6. B

    Post za kidato cha tano 2015/2016

    Mdogo wangu.kodi shkamoo baba umechoka?
  7. B

    Lameck Airo anahujumu Halmashauri ya Rorya, achunguzwe

    Jambo la msingi pigs chino chama chake this time.na ukabila muache mbwa nyie
  8. B

    Nawapenda sana malaya

    Dogo tatizo lako hujui kutongoza
  9. B

    Msaada: Anatumia kiwanja changu kuweza kufika kwake

    Lazima muongee.muuzie iyo sehemu kama hana njia ya kupita.maana viwanja vyenu wote havijapimwa.bisha.
  10. B

    Sasa inabidi wanawake watuhonge wanaume

    Haukumridhisha.ungepiga hata moja tu refu.ye angalau apizi Mara mbili we moja.in short amekuona fwala jombaa
  11. B

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kuhudumia makontena Tanzania (TICTS)ni mzungu?

    No kweli unachosema.wabongo wapo wengi tu wanaweza ila most of them ni wezi.so ni ngumu.kumpa kwa sababu anaweza kuamishia ukoo wote hapo
  12. B

    Serikali kuagiza Toyota GX V8 zipatazo 171

    Mimi naenda sana nje ya nchi.ila mocambique walonifurahisha sana gari za serikali ni mahindra
  13. B

    Hivi Ugonjwa wa mama mkwe unanihusu kweli?

    Kwanza iyo issue ingekuwa kwenye makabira yetu ya bara.ingekua bora mama afe kuliko kuhudimiwa na shemeji wakati vikana wapo.
  14. B

    Hivi Ugonjwa wa mama mkwe unanihusu kweli?

    Jamaa ana shida jamani? Ila kinachouma ni kwamba mke hatambui mchango wake? Kama still anajifanya atambui umuhimu wako.pigs chini mkuu.tatizo letu tunajifanya tunawaheshimu.watoto wakati we we unaishi maisha yasiyo na furaha.piga chini kaka.the whole family.au jikaze kiume usilalamike....
  15. B

    Namuonea huruma kumuacha nitamuumiza tena

    Mmh miaka 24 ulitakiwa kuwa shule.umeoa?
  16. B

    Mayai ya Kwale kama Kikombe cha Babu, Wananchi tuchukue tahadhari

    No sio dawa hata kidogo.ila yana protini nyingi that's all
  17. B

    Ni upi uwezo wa kutoa speech Kingereza kwa watia nia urais 2015

    Wanaojua kiingereza umewaona walivyoongoza? So rais wa China akienda un anaomgeaga kiingereza?
  18. B

    Hivi ni kwanini viwanda vya Cement Tanzania vinanawiri mno?!

    Wakizalisha nyingi lazima bei ishuke tu mkuu
Back
Top Bottom