Search results

  1. G

    Nimeamua kuachana rasmi na Vodacom

    Licha ya kuwa watumishi wa voda hawaminiki yaani wanamkono mrefu siwapendi kabisa mtandao wa kishalobalo
  2. G

    Kwanini mara kadhaa binadamu anapokaribia kufa huhisi aibu?

    ni kweli lazima mtu anapo karibia kufa anachangamka kwa sababu huko tunako kwenda ni kuzuri sana, hakuna magojwa, wala kuugua hakuna kula, hakuna kuvaa, ni kuzuri sana sana tuta vaa mwili wa kiroho spiritual body usiyo haribika tutaepukana na tabu za Dunia hii bibilia inatuambia wazi nyumbani...
  3. G

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Kweli nimeamini watanzania tumelishwa limbwata na aliye tulisha alifariki tunaushabikia ujinga tu ni nchi ya kwanza dunuani kuwa na mawazo ya kimo cha zakayo
  4. G

    Warioba hama CCM, nenda UKAWA - Steven Wassira

    Wasira ni mamruki
  5. G

    Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

    Hawa viongozi wabovu, hawafai hata kidogo,wanadumaaza nchi ni wezi karibu wote ni kama ukoo wa panya,panya ni mwizi kutoka tumboni mwa mama yake inakuwa na damu ya wizi,panya wanaishi kwa kuiba babu mwizi, baba mpaka wajukuu ni wezi thithim wanakauli nzuri sana wanajifanya wanatetea wananchi...
  6. G

    Nimekutana Live na GWAJIMA..kwenye daladala...!

    Mungu ndiye atakaye hukumu,tu mwachie Mungu , Misukule ya gwajima itafahamika tu Bibilia ina sema wazi kuwa watu wangu anaangamia kwa kukosa maarifa
  7. G

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Muulize Rais wako vizuri na magamba yao
  8. G

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    [QUOTgE=MWALLA;10135501] maendeleo bora kwa kila mtanzania inawezekana.
  9. G

    Waliokamata wezi wa sadaka KKKT Kariakoo wafukuzwa kazi

    Dawa ya dhambi ni kutubu Mchungaji, acha kubishana na ukweli, ukiwekewa video hiyo ya wizi utabisha?
  10. G

    Waliokamata wezi wa sadaka KKKT Kariakoo wafukuzwa kazi

    nyie msimtee huyo Mchungaji ni mwizi mzoefu,tu mwogope mungu jamaani, sadaka za watu wanatoa kwa Machozi yeye anaiba,Mtoa mada haja kosea ana Video camera cct-Tv camera ngoja warushe muone kazi yake wanavyo sosomola hela za Kanisa tena hana elimu Kabisa Mchungaji huyo sifuri kabisa darasa la 7...
  11. G

    Hakiyamungu usiombe yakukute

    Kipande cha muhogo wake kweli kipo salama?
  12. G

    Hakiyamungu usiombe yakukute

    Duh hii noma
  13. G

    Kwanini traffic akikusimamisha huomba leseni, kadi ya gari n.k?

    unanichekesha sana,sasa ww ulitaka akulize nini kadi ya mtoto ya clinic? hizo ni taratibu za traffic hakuna Gari ambalo utanunua bila kadi,au una kaa Malawi?
  14. G

    Chalinze: Ridhiwani achafuka

    hawa achana nao wana miiba mirefu ndugu,wanategemea sana Magamba yao,lakini kila kitu kin mwisho wake.
  15. G

    Mwanamke: Kwanini inakuwa ni shughuli pevu kumpata mwanaume muafaka...!

    asilimia kubwa ya wasichana ni vicheche wazoefu wanapenda sana kuunganisha vikojoleo kupita kiasi,yeye ndiyo ana shawishi hiyo kazi, sasa utamwamini Vipi :A S 465::A S embarassed:
  16. G

    Tanzia: Mkuu wa Mkoa wa Mara aanguka ghafla na kufariki dunia!

    sisi sote huko ni nyumbani tuna kwenda kwa zamu,kifo tunatembea nacho ndugu,Mungu alichotufumba hatujui kabisa yanayo tokea mbele yetu,mwanadamu aliye zaliwa na mwanamke siku zake za kuishi duniani si nyingi hata ungekuwa maarufu kiasi gani mavumbini tutarejea. tunawaombea wana familia Mungu...
  17. G

    tetesi:CHADEMA wauza jimbo la Chalinze, wamshabikia Ridhiwani

    ili kuepusha vita ni bora chadema ,mkajitoa tumeona mfano halisi Jimbo la kalenga iringa, tumeona Vita Ndani ya Nchi yetu hakuna Amani hata kidogo,watu wanauana,kuchomana visu,kudhalilishana, kutekwa na mambo mengi ya kutisha,vyama si kama Simba na Yanga,watanzania sisi ni mbumbumbu kabisa...
  18. G

    Nikionana na rais JK uso kwa uso

    ni afadhari ukasherehekee ngoma ya kumtoa mwali chalinze ,kuliko kwenda huko, au ukasikiliza matangazo ya vifo kenya.
Back
Top Bottom