Search results

  1. K

    Ufisadi wanukia Bandari ya Dar es Salaam, Mh. Mwakyembe mulika wezi tafadhari!

    Jambo la kusikitisha na la kuumiza na linalokwenda kinyume na utendaji wa kazi ni pale viongozi waliopewa nafasi kuzitumia isivyo kwa wafanyakazi wenzao. Hii imetokea leo bandari ya Dar es Salaam eti tangazo linatolewa kuwa wafanyakazi wote wa bandari mtakatwa mishahara yenu kwa ajili ya...
  2. K

    Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

    Ni public kwa mtazamo wako lakini kwa wengine ni individual, na ndio maana wengine ukimzingua tu anakimbilia sehemu nyngine tena kwa haraka pasipo kulegea. Cha muhimu ni kujitambua una wajibu gani kwa jamii inayokuzunguka na unaitimizia nini kwa wakati muafaka.Kwa jamii iliyo kubwa ni kuona...
  3. K

    Serikali tatu vs serikali mbili. Ni mfumo upi utanufaisha wananchi wote?

    Chaguo la kutaka serikali 3 lilionekana kuungwa mkono na wananchi wengi ndio maana Jaji Warioba na kamati yake wakaangushia ndani ya rasimu, vinginevyo tusikilizie woga wa watu mara gharama, eti kuvunjika muungano n.k hivyo vyote vina mipaka yake namna ya kuvitatua! usiogope gharama nchi zina...
  4. K

    Ombi la Zitto kutembelea SAUT-Mwanza lakataliwa na uongozi wa tawi

    Asijidanganye kukanyaga UDOM maana hata kwenye magari ya wafanyakazi wana hasira naye kwamba ni msaliti, inaonekana jambo lake limewaudhi wengi sana. Angejua mapema madhara yake, angekaa kimya! Linalouma zaidi ni kutetewa na wanachama wa chama kingine! AJABUUUUUUU KABISAAAAAA!
  5. K

    Udom; dressing code imekaaje?

    Ni heshima kujistiri mwili wako, maana kuonesha maungo yako ni aibu kwa wanaokuona na hata kwa wazazi. Kikubwa zaidi ni mtu kujiheshimu mwenyewe na kutunza utu wake sio mpaka uwekewe sheria na vipingamizi kibao! Ahsante sana!
  6. K

    Kauli kali za Mrisho Mpoto

    Akuzuiaye kukomba mboga anataka Ushibe....
  7. K

    UDOM Mambo Yao GoiGoi

    Tulia ukiwa unapambana na mtandao, hautaki kuburuzwa inakubidi uwe makini ukiwa na hitaji la Kupakua!
  8. K

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    Toa link tuone picha kwenye You tube tafadhari. Kwa kweli ni unyama mtupu! Mungu nusuru nchi hii hasa anzia kwa viongozi wote wadhalimu!
  9. K

    Waliowahi kushika uongozi wa serikali ya wanafunzi vyuo vikuu wafuate nyayo za Zitto Kabwe

    Kusaja yupo UDOM muda mrefu kuanzia 2007 mpaka sasa.
  10. K

    Huyu ndiye mtoto wa kwanza wa baba wa Taifa Mwalimu Nyerere

    Tunashukuru kwa data hizo, ila ungetusaidia kufahamu hawa uliotaja wako wapi ikiwezekana katika kulitumikia taifa aliloacha Mwl. ili wengine tujue taifa aliloacha mwl linaendelezwa na kizazi chache au vinginevyo!
  11. K

    Baraza la mawaziri na watoto wa vigogo

    Tumeliwa kekundi Watz wenzangu, hebu 2015 iwaamshe wote kukaa mguu pande na sawa kwa upande ulio sahihi.
  12. K

    Breaking news: Chuo kikuu cha mkwawa mabomu yanalindima

    Mchakamchaka chinja ali selema alija!! Hiyo ndiyo kuelimika zaidi maana ukiona dhuruma inatendeka na umesoma huchukui hatua yoyote elimu haijakusaidia. Kwa hali hiyo elimu imewasaidia kwa kuwa wametambua uozo wa viongozi wao. Ni haki yao kuidai maana wakimaliza huko watakuja kukutana na 8%...
  13. K

    Kitine: Kuna waziri ameiba fedha za nchi huko nje ametia mfukoni mwake kutafutia urais

    Uthibitisho wa picha litakuwa jambo muhimu sana ikiwezekana na vibali/vyeti vya umiliki kama vitapatikana kwa usahihi zaidi.
  14. K

    VIWANJA 20m x 20m. Bei poa ya kutupa!!! Unapewa na Hati ya kumiliki

    Mi napenda nifike mwenyewe ktk eneo la tukio angalau nipate hata kimoja baada ya kuona wengine ni akina Tomaso mpaka kuona ndio pesa inatolewa. Unaonaje kwa hilo?
  15. K

    AFYA MUHIMU SANA WANAUME SOMA itakusaidia

    Nimeipenda hiyo habari sana kwa manufaa ya afya zetu ktk maisha ya kila siku. Ahsante sana.
  16. K

    Msaada wa Kutokomeza ugonjwa wa Arthritis tafadhari!

    Ahsante sana kwa mchango wako.utekelezaji utazingatiwa.
  17. K

    Mauaji ya Usa River na Kisa cha Mtego wa Panya

    Mdharau mwiba mguu huota tende, viongozi wasikae kimya kwa hili tena askari waamke kwa hali zote wahusika wakamatwe na wasiwachekee na kuanza kuwabembeleza kama vile wanatoa posa kwa mabinti wao. Inauma sana tena sana Mungu isaidie sana Tanzania maana viongozi wanajifanya wamevaa miwani ya mbao.
  18. K

    Mawaziri wa JK: Ngeleja na apartment ya $350,000

    Mi nawakoromea warudishe hizo pesa wao wenyewe, na wafunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi tena wakamatwe kabla hawajacheza mchezo wa kama Balali.Polisi kakamateni wezi hao CAG ameshawatambulisha mwizi mnasubiri nini jamani? wakati mkisikia tu kibaka anakimbia na kuku mnatamani kupiga hata...
  19. K

    Mashirika gani JK kuyashughulikia

    Aiangalie pia na UDOM kwa macho makubwa tena avae miwani yenye lenzi kali ndio ataona vizuri mambo yaliyoko ndani yake.
  20. K

    Msaada wa Kutokomeza ugonjwa wa Arthritis tafadhari!

    Naomba msaada kwa yeyote anayejua kuhusu namna ya kutibu ugonjwa wa Arthritis ktk miguu hasa magotini inasababishwa na mambo gani na dawa yake ni nini hasa. Ahsanteni sana kwa mawazo yenu.
Back
Top Bottom