Search results

  1. prince dudu

    Rais nchi imemshinda

    Hili janga la mafuta Sasa ni jipu kubwa karudia tabia ya kuficha mafuta kama alivyofanya kwenye sukari Enzi zile. Ufisadi Sasa hivi ni wa watu wachache Sana, raisi wetu mtarajiwa ni majaaaliwa.
  2. prince dudu

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Msukuma awagombelezea masanamu Kwa pozi za picha
  3. prince dudu

    Mnaopenda wanawake wazuri kazi kwenu

    Mwanamke mzuri ni kama mshumaa vile japo anatia hasara Sana me siwashauri wanaume kuwaowa wanawake wazuri mtajuta mimi si mnajua kua hainaga ushemeji?
  4. prince dudu

    Rais mstaafu J.Kikwete akiwa na wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma Harvard University

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] inapendezq
  5. prince dudu

    Forex training Dar es Salaam 07/05/2018

    Jamani me naomba kuwe na uzi wa kufundishana upya forex wengine hatujui
  6. prince dudu

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo vikindu mkuranga nije andeni tanga Kwa mawasiriano 0653914723 Idara ya Shule ya msingi
  7. prince dudu

    Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Hapana kifutu ni mwengine Tena
  8. prince dudu

    Rais Magufuli na Serikali yetu punguzeni spidi kidogo tutafakari, kwa maana dah!

    Hivi wewe ulieweka huu uzi upo Sawa sana me naona umelewa na rangi ya kijani kichwani kwako eti tumekinai maendeleo loh! Wakati Kenya [emoji1139] ELECTRIC TRAIN [emoji579] imejengwa kitambo tu munafurahia Mali zitakapo enda huko Rwanda
  9. prince dudu

    Rasmi: Bei za chapati, maandazi zapanda

    Tutamuomba mwenyezi mungu mpaka lini wakati msababishaji tunamuona?
  10. prince dudu

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Indian wedding [emoji546]
  11. prince dudu

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    YOU MAY subscribe my YouTube channel NIVAKO TZ link [emoji115]above
  12. prince dudu

    Kuna Aliyeuelewa wimbo mpya wa Ommy Dimpoz?

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] hawezi kutoa nyimbo mfululizo atoe aone kama hajatuimbia mabata madogomadogo
  13. prince dudu

    Baada ya kuachana na mambo ya dini ndio nagundua dini hupumbaza sana binadamu

    Ama kweli watu wanachanganyikiwa pole mkuu Asa Ata haujiulizi umeumbwa na Nani kama sio mungu
Back
Top Bottom