Search results

  1. agatony8l

    Je, umewahi Kujiuliza nini lengo la mfuko mdogo mbele ya Suruali ya Jeans?

    Humo huwa coins, wakati nikiwa napiga ulabu nakunja na kuweka noti
  2. agatony8l

    Sasa Kaamua kabisa Akili kuzitupilia mbali, anatapika tu

    Mkuu umechambua vizuri sana hongera, tuwaachie wenye intellijensia yao waje wakuzoe sijuii wataihusisha na nani kwi kwi kwiiiii
  3. agatony8l

    Julius Mtatiro: Mambo 15 yaliyotokea kwenye mkutano mkuu wa chama cha CUF

    Umeongea vizuri sana i salute you
  4. agatony8l

    Master PLan ya Mji mpya wa Singapore

    Total failure
  5. agatony8l

    CHADEMA chaweka kiporo urais

    Hawa watu hawakurupuki, Kumbuka 2010 baada ya kupima joto akateuliwa dk slaa hatua za mwisho, ona jinsi magamba yalivyopelekwa puta
  6. agatony8l

    CHADEMA chaweka kiporo urais

    Safi sana lakini nafikiri tuwe tumeshamjua mgombea kuanzia mwezi wa sita ili mikakati ya ushindi ianze kupangwa mapema
  7. agatony8l

    CUF yateua jina la Lipumba kuwania nafasi ya urais kupitia UKAWA

    Hata mimi sijui mkuu tusubiri tuone
  8. agatony8l

    Mwamba wa kanda ya Kaskazini Laigwanani Mkuu kutangania kugombea Urais

    Nimemuona akiingia leo kwa ndege ya fast jet, Hakika laigwanani afya yake ina ualakini. Wacha tuile pesa yake Uraisi hapana
  9. agatony8l

    CUF yateua jina la Lipumba kuwania nafasi ya urais kupitia UKAWA

    Nimeongea nilichokisikia, sijaongea ulichokisikia wewe
  10. agatony8l

    CUF yateua jina la Lipumba kuwania nafasi ya urais kupitia UKAWA

    Jana nimesikiliza taarifa ya habari sikusikia mketo akitaja jina la Lipumba, nilichosikia Ni kwamba wanakaribisha wanachama wa CUF wanaotaka kugombea nafasi mbalimbali wajitokeze kuchukua fomu. Baadae ya hapo wagombea watakaopitishwa na CUF watapambanishwa na wagombea toka vyama vingine kumpata...
  11. agatony8l

    MEMBE yupo LIVE ITV kipindi cha dakika 45

    ni aibu hata kusema eti ndiye waziri wetu wa mambo ya nje mh
  12. agatony8l

    MEMBE yupo LIVE ITV kipindi cha dakika 45

    jamani leo nimekasirika kuliko maelezo kweli mtu anatetea wamisri na kuwaacha watanzania? kwa kweli huyu hafai kabisa kuwepo hata tanzania mi naona ni bora ahamie hukohuko kwa.waarabu
  13. agatony8l

    Hotuba ya Uwasilishaji wa Bajeti Kuu ya Serikali, 2014 / 2015

    Serikali ya kisanii wananchi wasanii basi ni fullu sanaaaaaa
  14. agatony8l

    Hotuba ya Uwasilishaji wa Bajeti Kuu ya Serikali, 2014 / 2015

    Achana na watu wenye wivu wa kike, mama typo fiti
  15. agatony8l

    Kwanini wanawake hawapendi kutumia Kondomu!

    Zaidi ya mara kadhaa ya relation ship zangu nimegundua Wanawake ndo watu wa kwanza kupinga matumizi ya mpira kwa kisingizio cha kuwaumiza. Na mara nyingi Mwanaume asipo kuwa na msimamo katika matumizi ya condom basi matumizi huishia hapo Na kuwa kavu kavu, kikubwa wanachojali ni Mimba tu so...
  16. agatony8l

    Hivi wakina dada aibu wamepeleka wapi?

    Jamani siku hizi wakina dada na akina mama wanaonekana hawana aibu kabisa kwenye haya mambo yetu fulani. Hata ukifuatilia wakati wa kutongozana una sikia Sauti ya mwanamke tuuu, mwanaume anaongea Sauti ya chini, ukifuatilia anacho ongea unachosikia ni muungurumo tuuu. Je hii inashiria kuwa...
Back
Top Bottom