Search results

  1. D

    Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

    Fundi decoder. Hahahhahahahahahahhaa.
  2. D

    Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

    Sahivi hasara bilioni 80 ndani ya mwaka mmoja na nusu.
  3. D

    Uzinduzi wa Studio mpya za Azam Media

    Kweli hongera sana Azam Media Group........
  4. D

    Usafiri wa Moshi kesho saa moja

    Vipi umefanikiwa ndugu?
  5. D

    Ajali ya lori na DCM eneo la External jijini Dar yaua

    Ajali itakuwa kati ya saa 2 na saa 3, maana nilipita hapo saa 4 kasoro, hilo Lori bado lilikuwepo na palikuwa na foleni ndefu na kali sana, DCM sikulikuta nahisi walilitoa ili lisiendelee kuzuia njia.
  6. D

    Wizara ya nishati na madini: Zawadi nono kwa atakayefanikisha kukamatwa kwa mtu anayetorosha madini

    Hata mimi imenishangaza sana, hadi tangazo wamechakachukua.
  7. D

    Group za Whatsaap Ni shidaa

    Okay tumeshajua ulisoma physics na chuo ukasomea mambo ya networking.
  8. D

    Nimueleweje na nifanyaje?

    Ndio umeamua kunitangaza hadi huku?
  9. D

    Malalamiko: TIGO Tanzania

    Mimi nadhani hapa ni kuwa na discipline itasaidia, wazo langu kama unajijua unatumia sana internet basi tafuta mtandao unaona unafaa kwa wakati huo, weka bajeti ya mwezi kulingana na gharama kwa wakati huo, tafuta wireless modem ili iwe rahisi kutumia kwenye device yoyote nikimaanisha ukiwa na...
  10. D

    Hot story

    Naona ule usemi "maneno ya mkosaji", story ni nzuri na huo ndio uamuzi wake, tuheshimu maamuzi ya mtu, atakayehitaji atanunua tuu ndio ukweli, huwezi ukawa mpenzi wa story halafu ubanie kutoa 10,000 kununua kitabu ambacho umeshaanza kupata utamu wake. Kama imekuboa wewe susa wengine wale. Eddy...
  11. D

    10 Worst Airports in the world: JKNIA- Dar es salaam haimo, hongera!

    Hivi ni JKNA au JNIA tusije changanya habari but kwa uwelewa wangu ni Julius Nyerere International Airport (JNIA) wamejaribu kutokumix kwa vile kuna Jomo Kenyatta International Airport (JKIA)
  12. D

    Pata Simu Orijino kwa Bei Nafuu, Unaletewa Mpaka ulipo

    Kweli kabisa mkuu bei zako ni reasonable sana, wasilinganishe hizo za Tigo ambazo ni locked halafu ni promotion maana tigo pale hawakuuzii kwa ajili ya biashara ya simu hardware bali kwa ajili ya kukuvuta uwe mteja na ndio maana wanakupa na vifurushi vya kutosha wakidai wanakurudishia hela yako...
  13. D

    CHADEMA imeanzisha mfumo mpya wa malipo unaitwa "CHADEMA PAY LINK"

    Hiyo code ya kurecharge credit naona mnaishangilia tena ni Airtel na Tigo, kwa voda ni invalid ussd code. Kuwa macho.
  14. D

    Azam Airlines Yaja

    Alishafikiria hilo zamani serikali ikamkatalia na nilivyosikia aliwekeza reli Malawi sasa sijui ilikuwaje zaidi ya hapo.
  15. D

    Ni halali kwa Polisi kuchukua leseni ya dereva?

    Msijali sana nimeskia kuna mchakato unataka kuanzishwa wa kulipia makosa barabarani kupitia mobile money kama m-pesa, yani ukishikwa anakuandikia notification then wewe unaingia kwenye menu yako ya mobile money unachagua Traffic (mfano) unathibitisha unakatwa hela (30,000/=) unapokea text yenye...
  16. D

    Ni halali kwa Polisi kuchukua leseni ya dereva?

    Ninavyofahamu mimi kwa haya machache mfano. 1) Ukiandikiwa notification unaweza lipia kituo chochote na ukapewa risiti, kingine wengi hawapewi risiti maana wanaotembea barabarani hawana risiti zile sio risiti, risiti zipo kwa mhasibu wao. Cha maana anatakiwa akupe copy ya ile notification ya...
Back
Top Bottom