Search results

  1. M

    Waziri wa ujenzi Dr.P.Magufuli apiga marufuku matuta kwenye highway

    Mheshimiwa Magufuli, nilikuwa ninakusubiri ukae nione kama ungelikumbuka hili agizo lako la awali. Uliwahi kutoa tamko hili kuwa matuta kwenye high way hapana. Ninakupongeza sana sana kwa hilo. Ninakuomba ujenzi ni kazi ya kitaaluma na kuna vipimo,,,,,Je inakuwaje TANROADS hapana ngoja...
  2. M

    Serikali 'yawavutia pumzi' wageni kuajiriwa kiholela!

    Kutokana na wageni amabo wapo tayari kufanya kazi kwa masaa mengi na katika mazingira magumu...wafanya biashara wageni wamependelea sana kuajiri wageni. Ukiangalia hoterini...wadada wa hausi kipin ni wakenya..nenda kunduchi, na hoteri za unguga. Angaria maduka ya waparestina..wauzaji ni...
  3. M

    Lets just COPY & PASTE katiba ya Kenya

    Ingelikuwa ni vyema kama tungeliweza kupata nakala ya Ghana ili tulinganishe ....lakini so far ya Katiba ya kenya ipo vizuri.
  4. M

    Hawa ghasia na onyo lake

    Asante Bibie Hawa kwa kuwa na huruma na wanawake. Umeanzisha mjadala mzuri sana. Wewe ni kiongozi shupavu. Sasa basi, jambo la kwanza...anza kusafisha ofisini kwako....Vigogo ndani mwako wamegeuza ofisi dangulo....busara zako zitapimwa hapa sasa kama unasema tuu au una memo...
  5. M

    Mke wa mtu!

    Usiwe na wasiwasi kuna wataalam watakupa ushauri zaidi. Tafuta kiongozi mmoja kwenye serikali hajaoa, kazi yake ni kula wake za watu ofisini...atakupa njia muafaka
  6. M

    Kwanini Sophia Simba madaraka hayo yote na Kiingereza tatizo?

    Inaezekana ikawa huyu Mama ana uwezo na serikali imeona atamudu majkumu yoe liyopewa
  7. M

    Prof David Mwakyusa ameachwa licha ya kuahidi kufuatilia afya ya Rais kwa karibu

    Huu utaratibu wa kupta mawaziri kwa kuzingaia kuwa ni lazima kila mkoa upate Waziri sidhni kama unleta tiga kwa nchi. Heb jaribu kungalia kazi ya waziri na uhusiano wa mka wake wa kuzaliwa, maendeleo ya kazi ya wizara anayoihudumia. inafsi sini mahusino and sioni ni kwa nini bado tunakumbatia...
  8. M

    Gen. ABDALMAN SHIMBO UPO WAPI JAMANI....!??

    Hili ni tatizo ambalo viongozi wa Tanzania wanalo...Shimbo aliingilia shughuli ambayo sii yake kwa ile ilikuwa ni jukumu la Polisi. Sababu zilimfanya akurupuke na kuchemcha anazijua yeye mwenyewe..(Hosea nae anaangukia kwenye kundi lakuchemka) How kama Simbo ana ule uchungu wa kuona amani...
  9. M

    Elections 2010 Chenge inabidi ajiuzulu

    Hebu tujaribu kuangalia hivi...kuwa Hosea ni kiongozi wetu wananchi....anatakiwa afanye kazi kwa ajili ya maslahi yetu...Sasa yeye anafanya kazi kwa maslahi ya nani? Kwa sisi wananchi, twaona kuwa Hosea, hakututendea haki, ametudanganya...basi inabidi awajibike....AJIUZULU arudi kwao akaishi na...
  10. M

    Do we really need TAKUKURU?

    We need to think more if we need them or not... 1. Since they have been established, what have they really achieved for this nation? 2. What is the annual budget? 3. What is CID division in the police force doing? Isn't this a duplication of works?
  11. M

    Uchumi wa Bongo

    .........TRA wamefungualia vijana wake waende mtaani wakakusanye chochote kitakachopatikana kutoka kwa wafanyabiashara..Mostly itakuwa ni wanafanya biashara wadogo wazawa ....Hii inaweza kukupa picha ya hali ya uchumi wa nchi upo vipi.. .....
  12. M

    Mambo ya kikuku kinaashiria nini??

    Kwa zamani ilikuwa inategemea ipo mguu gani .....na mostly hiyo illikuwa zamani siku hizi ni urembo zaidi....Hence usiende huko kwenye kwenye dunia ya leo ukamvaa binti na wazo hilo la tigo etc....
  13. M

    Hi, am a new member!

    Congrats JF Community for the good work
Back
Top Bottom