Search results

  1. K

    Kiss FM tuongezeeni muda wa kipindi cha asubuhi

    Katika vipindi vya asubuhi ninavyovieelewa kwa zama hizi ni morning kiss, lakini ninaudhika sana kipindi kinavyomalizika ghafla tu na kuingiza uzungu, kama kuna kiongozi humu wa Sahara, hebu jaribu kutufikishia kilio chetu kwa Diallo ili waweze kuongeza muda angalau kiishie saa nne, tumetuma...
  2. K

    Kiss FM tuongezeeni muda wa kipindi cha asubuhi

    Katika vipindi vya asubuhi ninavyovieelewa kwa zama hizi ni morning kiss, lakini ninaudhika sana kipindi kinavyomalizika ghafla tu na kuingiza uzungu, kama kuna kiongozi humu wa Sahara, hebu jaribu kutufikishia kilio chetu kwa Diallo ili waweze kuongeza muda angalau kiishie saa nne, tumetuma...
  3. K

    MORE PRESSURE: CDM Wasiposhinda Arumeru East Uongozi mzima wa Taifa LAZIMA Ujiuzulu

    MM Demokrasia katika nchi zetu hizi za dunia ya tatu bado sana na kusema usishiriki uchaguzi bado itakuwa sio dawa, na ukishiriki ukashidwa bado sio kigezo cha kujiuzulu, maanda MM ujue hata haya leo tunayaona ni matokeo ya ushiriki usiokuwa na kikomo wa CDM katika chaguzi hizo ndogo. Zaidi ya...
  4. K

    Husein Bashe anaendesha michezo michafu Arumeru Mashariki

    Huyu naye ni Msomali kama Bashe, ila eti anajiita msukuma hivyo lazima amtetee Msomali mwenzake
  5. K

    CCM/CUF washambulia Wanaharakati- CDM wapinga kupitisha Mswada wa Mapitio ya Katiba

    Katika hali ya kushangaza Mbunge wa Tabora Mjini Aden Rage amewaita Jukwaa la Katiba kuwa ni wahuni tu, na Spika ikabidi aingilie kati na kumwambie aondoe maneno hayo, huyu jamaa anapata jeuri hii wapi? Nawasilisha.
  6. K

    Mwigulu Nchemba adaiwa kununua jina kama Kigwangalla

    Katibu wa Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba anadaiwa kununua jina la msukuma mmoja anayeitwa hilo wakati wa kwenda kidato cha kwanza. Inadaiwa huyo mwenye jina la Mwigulu yuko maeneo ya Shinyanga ambapo bwana huyo alimuachia nafasi ya kwanda kidato cha kwanza kwa kutumia jina hilo baada ya yeye...
  7. K

    Igunga: CCM sasa wafanya kampeni kwa kuwahutubia watoto

    <tbody> Katibu wa Taifa wa Uchumi na Fedha wa CCM, Mwigulu Nchemba, akihutubia wananchi wa kijiji cha Simbo jimboni Igunga katika mkutano wa kampeni. <tbody> MGOMBEA ubunge jimbo la Ugunga mkoani Tabora, kwa tiketi ya CCM, Dk Dalaly Kafumu akihutubia mkutano wa kampeni leo katika Kata...
  8. K

    Nape awalipua Dr. Slaa na Mbowe, amtetea Pinda

    Hapa sio kumuhukumu Nape tu, hata mwandishi wa habari hii naye anamapungufu ya akili maana hata kupiga hesabu kidogo tu kujua anachokiongea huyu Nepi kina uhalisia au ni pumba tu. Hivi mtu akikwambia kamwambie baba yako mjinga nawe utaaenda kumwambia? Ukimwambia maana yake wewe ndiyo...
  9. K

    Startv na RFA wana tofauti gani na Lawrance Masha?

    Namaanisha kwamba huyo bwana aliyeng'oa vitasa na huyu bwana anaewanyima coverage hawa waheshimiwa naona kama vile wako sawa tu, yaani hawataki maendeleo kwa waheshimiwa wapya
  10. K

    Startv na RFA wana tofauti gani na Lawrance Masha?

    Katika kuangalia na kusikiliza vyombo vya StarTV na RFA sijawahi kusikia habari yeyote inayohusu wabunge wa Nyamagana na Ilemela wakipewa coverage katika shughuli zao zote wanazozifanya ziwe za kichama wala kijamii. Je hawa wanatofauti gani na Masha aliyeng'oa vitasa katika ofisi ya Mbunge...
  11. K

    Mhe. Masele: Kiongozi Kijana TZ asiyeogopa lolote (CV Attached)

    Huyu nasikia ni moja ya vijana waliokuwa katika kundi la Ridhiwani Kikwete, na hata jana matokeo ya Shinyanga Mjini yalibadilishwa kwa shinikizo lake kwani naye alikwenda kuongeza nguvu. nakwambia nchi hii inavurugwa na hawa watoto wanaojiita wenye nchi
  12. K

    Shibuda aachiwa na Polisi na kusema "CCM wamenipa Umaarufu"

    Mapambano yanaendelea, hakuna kulala mpaka kieleweke.
  13. K

    CCM Busanda inachekesha! 25-10-2010

    Mie nadhani JK washauri wake ni watu waliopauka kisiasa, maana pale karatu niliona malori kibao sasa nikajiuliza hawa watu wahuku wanamalori kiasi hiki na hata gari ndogo zilikuwa chache sana. Watanzania amkeni na msichague CCM. Unajia hiyo ni kama mtu aliyekutwa mtupu halafu akainama...
  14. K

    Hivi ni kweli kila mtumiaji wa simu za mkononi anachangia CCM?

    Kuna habari kwamba sie watumiaji wasimu hizi za mobile huwa tunachangia CCM kwa kukatwa kiasi fulani cha pesa bila kujua. Kwa mujibu wa vijihabari vilivyopatikana toka kwa watu wa makampuni wa simu zinasema kwamba makampuni hayo yalifuatwa na CCM na kuambiwa wachangie nao wakakutana na kuamua...
Back
Top Bottom