Search results

  1. A

    Nape awalipua Dr. Slaa na Mbowe, amtetea Pinda

    Sikuzote no avatarnilijua ni mwelewa kumbe zero,pesa za mbowe ni za jasho lake,cdm inapata ruzuku kila mwezi so nipesa za walipa kodi,acha uchama ufisadi upo ndani ya chaema
  2. A

    Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

    Nakuhurumia Dr. unapochezea sasa sipo,itakula kwako,waislamu tunatambua CDM ni chama cha kanisa,ushahidi soma waraka wa uchaguzi 2010 wa kanisa katoliki,muulize Mrema aliwafanya nini waislam na kilimpata nini, nadhani mmeiona action ya Kongamano la kiislam lililofanyika Arusha,inshort waislam...
  3. A

    Waislamu Ikataeni CCM

    Haaaa unachekesha kaka mlisha onyesha tangu mwanzo kuwa chadema ni chama cha kanisa ndio maana mlimsimamisha mchungaji agombee.mmekosa ndio mnarudi kutafuta wanachama wa kiislam,tutajiunga baada ya slaa kuoa maa takrab zinaaaaaaaaa
  4. A

    HISTORIA: Safari ya Anna Makinda kutoka Naibu Spika hadi Spika wa JMT

    Marandu kwa manufaa ya chadema na makinda kwa manufaa ya ccm kazi kwako,ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
  5. A

    Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

    Sishangai lisa kuuuponda uongozi wa kikwete, tatizo ni udini "hawata kuwa radhi mayahudi na manaswala mpaka mfuate mila zao'' wagala hamta mpenda jk hata afanyeje labda abadili dini.
  6. A

    Elections 2010 Pamoja na kujipa ushindi CCM mbona iko kwenye bumbuazi?

    Amakweli mchuma janga hula na wakwao,naona wapinzani mnavyopeana moyo baada ya kukosa ushindi,Slaa alisha ahidi kuwa hakunakulala mpaka kieleweke ndio kimeeleweka.Poleni sana
  7. A

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Slaa asituchanganye watanzania,mwanzo si alidai watalinda kura zao na kuhakikisha haziibwi,huyo ni sawa na mfamaji. JK anapendwa hilo lazima mtambue.SIRAHA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE zambi za kuacha Uchungaji zimeanza kukutafuna watanzania tunapenda amani kagimbee Dafur
  8. A

    Elections 2010 Ushindi wa CCM Kigamboni na mkono wa Jeshi

    Ushindi ni ushindi tu,Mkwezi zake mbili zinazobaki ni za mwenye mnazi,mmeshapewa Kawe na Ubungo finish zinazobaki ni zamwenye mnazi.
  9. A

    Salamu+Habari za Kampeni Biharamlo Magharibi

    Tatizo hamja komaa kisiasa,kameni za CHADEMA wanajaa sana vijana ambao wengiwao ni washangiliaji lakini hawapigi kura,CCM imewashika wazee na wanawake ndiomana inauhakika wa kura.
Back
Top Bottom