Search results

  1. Good Guy

    Mpesa MasterCard Tanzania: Kama unapenda uhakika wa malipo yako mtandaoni USIITUMIE

    Pole mkuu, hii ilishanitokea pia. Ni muda nyuma nilifanya manunuzi na takribani sh laki 2 ilitoweka bila kueleweka imetoweka wapi. Huduma kwa wateja wanasema kuna changamoto katika mfumo wa mastercard tu bila kutoa suluhisho. Wanasema subiri masaa 48, yakaisha hakuna kitu, nilivutana nao nadhani...
  2. Good Guy

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Sawa mkuu, best of luck
  3. Good Guy

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Upo kwenye gani ipi na una ujuzi gani? Pia elimu yako. Ni ngumu kupata msaada iwapo taarifa hizo muhimu (na zingine za msingi katika CV yako) hazifahamiki
  4. Good Guy

    Security cameras nzuri

    Namuelewa sana, binafsi baada ya niliyopitia sidhani kama nitapitia tena mambo ya kisheria kwa namna hiyo kama nilivyopita mwanzo.
  5. Good Guy

    Security cameras nzuri

    Hizi bei mkuu umezizidisha kidogo, zipo chini ya hapo. Nimefunga HIK Vision nyumbani, DVR ya kubeba kamera 8 lakini niliweka kamera 6, ngarama yake ilikuwa jumla ni kama laki 9 na ushee. Ilibidi kununua monitor, na router pia ambayo ilifanya gharama jumla kuwa kama milioni 1 na labda laki 1 au...
  6. Good Guy

    Napata wapi USB Mic nzuri kwa ajili ya YouTube videos?

    Interesting, I'll look into it. Sijahitaji kurekodi safarini kwa muda sasa, ila uko sahihi ni muhimu kweli kuwa na portable device when on the road.
  7. Good Guy

    Napata wapi USB Mic nzuri kwa ajili ya YouTube videos?

    USB mics situmii mkuu, hata hiyo snowball ilikaa muda mrefu nikampa mtu. Nina audio card na natumia xlr mics. Bei mpaka imekufikia ilikuwa ni kiasi gani? Inaweza kumsaidia pia mleta mada
  8. Good Guy

    Msaada wa final year project title kwa bachelor degrees

    Namna ya kuwasilisha suluhisho pia labda ni changamoto. Maana hata mimi project hiyo niliyofanya kuna ugumu ulikuwepo mwanzo lakini baada ya kuiwasilisha na kuonyesha uhalisia wa tatizo lenyewe na ukosefu wa suluhisho na pia namna tatizo linavyoongezeka mwaka kwa mwaka, kila mmoja alikuwa sold...
  9. Good Guy

    Msaada wa final year project title kwa bachelor degrees

    Nilipokuwa chuo X hapo. Wanafunzi wenzangu wengi walikuwa katika njia moja kama hii uliyochukua. Kulikuwa na system mbili nadhani za kusimamia taarifa za daktari na mgonjwa nakumbuka, kulikuwa na system za kufanya management za wanafunzi mashuleni, na kiujumla kulikuwa na management systems...
  10. Good Guy

    Nafikiria kuanza kutengeneza animation movies

    Ulishawahi kufanya animation yoyote kabla? Unataka kufanya 2D au 3D animation?
  11. Good Guy

    Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa

    Hata kama haufanyi kazi kwa mtu, si unafanya kazi na Watanzania ili kujipatia kipato? Ndio nauliza hizo shughuli unazofanya na wewe unafanya kwa kulipua lipua pia with "zero quality"?
  12. Good Guy

    Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa

    Na wewe kazi unazofanya kwa wengine unazifanya hivyo hivyo Kitanzania?
  13. Good Guy

    Wale wanaopiga pesa online Tanzania, vipi mnatumia platform gani kupokea pesa?

    1. Yes it is possible, I do that every now and then. It usually takes 1 day to reflect to my Equity if the withdraw is made between Monday to Thursday. A friend has CRDB and it usually take him upto 3 days. 2. Payoneer charges $15 if the amount is below I believe $700, but they charge 2% the...
  14. Good Guy

    I'm very hurt today, but I have no way.

    This really looks like a scam.
  15. Good Guy

    Kuna mtu anataka kununua Twitter account yangu

    Kaka unaenda kutapeliwa. That's all I can say.
  16. Good Guy

    Benki Ongezeni Hili kwenye ATMs zenu

    Kama nimemuelewa anachopendekeza mtoa mada ni kwamba. Maboresho yafanyike katika upande wa software ili mimi nikiweka pale natoa Milioni 1, atm yenyewe itoe 400k kisha niichukue na kubonyeza kitufe itoe tena 400k kisha 200k na kisha itoe kadi. Badala ya kurudia taratibu za kudraw tena mara tatu.
  17. Good Guy

    Benki Ongezeni Hili kwenye ATMs zenu

    Equity na Stanbic wanazo
  18. Good Guy

    Hamisha pesa directly toka payoneer mastercard kuja airtel money haraka

    Interesting. Sikujua kama kuna ATM inaweza kutoa zaidi ya laki 4 huku kwa mkupuo. Ni atm zote au selective? Let's say kama iliyopo shoppers mikocheni (Nahisi nimewahi kuona kcb hapo sina uhakika). Au mlimani?
Back
Top Bottom