Search results

  1. kekuwetu

    CCM Wateua Makatibu Wakuu wa Mikoa na Wilaya; Kinana hajarudi. Makonda atajwa...

    Hao mlio wapanga arusha, watafutieni sehemu zingine, arusha tumeizika ccm muda mrefu na matanga tumesha maliza.
  2. kekuwetu

    Diwani wa Chadema Arusha amjeruhi vibaya askari mwanamke

    Hiyo taarifa ya kuwapiga watu mara kwa mara tunaisikia kwako, wakazi wa ngarenaro tunampenda na kumuamini diwani wetu Doitha. Kama alikuwa amelewa chakari aliweza vipi mpiga polisi mwenye mafunzo? Huyu Diwani ni mwepesi sana kuwasaidia wananchi bila uwoga nafikiri hiyo Tabia yake ya uchapakazi...
  3. kekuwetu

    Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

    Mbona Mungu akuwasamehe maadui wa Israel Bali aliwapa msaada Israel wa kuangamiza maadui zao, mbona akuwaambia wakeshe wakiwaombea maadui? Kuna wakati wa kuomba na kuna wakati wa kujitetea. Mimi naamini makonda, amesoma na ana vyeti vyote vya halali, Ila kwa wale ambao hawaamini basi ajitokeze...
  4. kekuwetu

    Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Hawajaitwa kuwa wachungaji, uchungaji ni wito si wote wameitwa. Wale watabaki kuwa wana siasa wito wao upo huko.
  5. kekuwetu

    Anayedaiwa kwamba cheti chake ndio anatumia Makonda afunguka

    Alete cheti chake cha form four na makonda nae alete chake viakikiwe
  6. kekuwetu

    Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

    Vizuri, anaitaji Maombi.
  7. kekuwetu

    CHADEMA inanuka

    Mechekaàaaaaaaa, hapana aoge na maji mengi na afue nguo zote, akichamba hatatakata.
  8. kekuwetu

    CHADEMA inanuka

    Kona IPI anapongezwa? huku kwetu hiyo kona haijafika.
  9. kekuwetu

    RC Makonda: Kuna waumini 12 walipanga kunitupia majini

    Sijategemea kauli kama hii kutolewa na kiongozi, serikali haiamini uchawi, huo mtandao wake ni upi? Lazima ni mshirikina/mchawi.
  10. kekuwetu

    Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

    Sifuatilii kabisa filamu za kichina
  11. kekuwetu

    CHADEMA wamdhalilisha Wema Sepetu

    Subiri acha haraka atakabidhiwa kadi na mwenyekiti pamoja na wafuasi wake.
  12. kekuwetu

    Nafukua kaburi la biashara ya Freeman Mbowe, Nini asili yake?

    We mtoa mada kama umelala tu unategemea mshahara utumii akili kutafuta chanzo kingine cha halali kuongeza kipato chako lazima utashangazwa na mbowe. Naomba nijitolee mfano, nilikuwa msoma mita idara ya maji, baada ya kuona mshahara ni mdogo sana nikaanza kukaanga samaki jioni baada ya kazi...
  13. kekuwetu

    Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

    Naamini makonda hajachakachua vyeti vyake, na kwa jinsi alivyo MTU wa Mungu ataonyesha mubashara vyeti vyake vyote vya toka darasa la saba mbele ya waandishi huku pembeni akiwa na baadhi ya waalimu wake wa secondary.
  14. kekuwetu

    Vita dhidi ya dawa za kulevya inapogeuka uchochoro wa kuwapa watu umaarufu

    udhubutu upi na wewe! umetoka usingizini nini? kuna madawa yaliyoripotiwa kukamatwa toka zoezi lenu lianze? muone ulivyokaa kishabiki eti nangoja orodha ya 3! hivi una akili wewe, waliotajwa wenyewe 90% hawajaripoti wewe bado unataka kutujazia watuhumiwa hewa.
  15. kekuwetu

    Kama Idd Azzan alihojiwa na kuachiwa basi hii vita inazua maswali mengi

    hivi wewe toka watuhumiwa walipoanza kutajwa ni weledi gani umeuona? kuwapa taarifa watuhumiwa ya kuja polisi? hivi kama mimi ni mtuhumiwa si nitajipanga nisikutwe na kidhibiti chochote. Alafu kama walitumia weledi watupe taarifa ya madawa waliyo yakamata tayari kutoka kwa watuhumiwa waliopewa...
  16. kekuwetu

    Madawa ya Kulevya Part 2: Yanayojiri Central Police, Sirro awatimua wananchi na wanahabari Central

    wataw watawatoa wapi na mpaka sasa ni ni wanne tu wameripoti? Hata wao walijua hawawezi kuja lile lilikuwa tangazo tu.
  17. kekuwetu

    Madawa ya Kulevya Part 2: Yanayojiri Central Police, Sirro awatimua wananchi na wanahabari Central

    wamekurupuka hawajajipanga wanatafuta attention kwenye media
  18. kekuwetu

    Kinyang'anyiro cha Ubunge Jimbo la Nyamagana 2020: Mabula amtumia Msukuma kumshughulikia Makonda

    Msukuma hayupo kichama, ni mbunge mwenye kujielewa na kujua wajibu wake. Huwezi kuwaambia wabunge tuliowachagua sisi kwa kura na kwa kuwaamini kutuwakilisha kuwa wanalala na kusinzia, hayo ni matusi makubwa na anapaswa kushughulikiwa vizuri ili iwe fundishe kwa wengine wanaolidharau bunge letu...
  19. kekuwetu

    Wizara ya Elimu: Mikopo tumetoa kwa vigezo. Wanafunzi wengine hutumia mikopo kununulia Tv na pombe

    du kweli tunaelekea pabaya, siamini ninachokisikia.
Back
Top Bottom