Search results

  1. B

    Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

    Simba wamemtimua kocha mbrazil Robertino
  2. B

    Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

    Simba imefikia makubaliano na kocha Roberino, kwa Kifupi kocha kafungashiwa virago
  3. B

    Zitto Kabwe: Ni Mkulima tu Atatutoa Hapa Tulipo Kiuchumi

    Low hanging fruits ni Bandari
  4. B

    Freeman Mbowe azindua ujenzi wa Ofisi ya CHADEMA Jimbo la Segerea

    Hata Biden anava barakoa tena double
  5. B

    Viongozi wa Uamsho wapo huru?

    Kuna habari zinasambaa kuwa viongozi wawili wameachiwa na wapo huru. Habari zaidi zinasema mmoja wa viongozi hao ameoneka kwenye picha akiwa na Familia, mwenye taarifa zaidi plz. TAARIFA KAMILI YA KESI HII: - Breaking News: - Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, wawili waachiwa huru huku wengine...
  6. B

    Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

    Give marks how much out of [emoji817] did Tundui Lissu he score from Shaka's interview vs fundi Lissu allegation Jpm kaua demokrasia. 10%. ____ Jpm kaua uhuru wa habari 10%. ____ Jpm haonekani 10%. ____ Mlinzi kafa. 15%. ____ JPM mgonjwa 15%. ____ JPM kafa. 30% ____ JPM kajenga Chato. 10%. ____
  7. B

    Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    Nimemsikia Rais akisema kuwa mwanae ilipata Corona hii inaweza kuwa sababu aliamua ajitenge ili kuepuka maambukizi ya Corona, kwa maoni yangu Rais alifanya jambo jema kama Kiongozi wa kitaifa na kuamua kufanya kazi kutoka Kijijini kwake Chato Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

    Kwa ugonjwa huu wa Corona mikusanyiko ya na misongamano ni kichocheo kikubwa cha maambukizi, ukiangalia hali ya hewa ya baadhi ya Maeneo ya nchi hasa ukanda wa pwani, mahsusi Dar as salaam. Vituo vya mabasi vya Kimara mwisho, Ubungo, Ferry, Kariakoo Mbagala, utaona hilo ni bomu linalo Subiri...
  9. B

    beIN sportd decoder

    Nauliza mwenye uweO was kupata decoder ya beIN sports ningependa kunua mwenye information yoyote kuhus hiyo decoder anifahamishe
  10. B

    Niko katika wakati mgumu kuliko wakati wowote wa maisha yangu

    Mshukuru Mungu kwa Kila jambo, things happens for a reason, yatapita utageuka nyuma nakuona ulikotoka, itakuwa historia, pia ww uwe mfano kusaidia wengine, nitakutafuta! Usife moyo Mungu Ni mkubwa Amen
  11. B

    Ukweli juu ya kichwa cha treni kilichoanguka mkoani Kigoma

    Basi gonga like! acha ubahiri
  12. B

    Ukweli juu ya kichwa cha treni kilichoanguka mkoani Kigoma

    Usihamishe mada, unakimbilia kusema michoro na rangi, huoni Kama picha Moja Ni mbele na Moja Ni ya nyuma, ndo maana Kuna kioo (windshield) kwa Dereva kuona na picha nyingine hakuna kioo kwa sababu Ni nyuma ambako huwa Kuna engine
  13. B

    Serikali ipeleke Muswada Bungeni kufuta Uraia wa Diaspora wanaohamasisha vurugu kwa Watanzania

    You can't revoke a citizenship by birth of a person, refer Miguna Miguna, ishakuwa aibu yao
  14. B

    NEC: Hakuna sheria wala kanuni yoyote ya uchaguzi wa Rais, wabunge au madiwani inayotaka mawakala wapewe nakala ya kiapo

    Sugu amefungwa kwa sababu hakuleta ushahidi wa Lissu kupigwa risasi? "hypocrisy"
  15. B

    UP HELD, msamiati mgumu

    Up held ni neno gumu kwa wa Tanzania, baada ya kuangalia matangazo ya TV za Kenya zilionyesha kuwa uchaguzi wa Kenya umekuwa up held, wa Tanzania wengi ama kwa kutokufahamu ki english, kulitokea sinto fahamu juu ya nini kimetokea juu ya uamuzi wa mahakama ya upeo ya Kenya wengi wakifikiri...
  16. B

    TRA naomba mnipe kazi ya kukokotoa hesabu zenu. Si kwa uzembe huu jamani

    Msemaji wa Serikali ametuma ripoti ya mapato ya Serikali (July- September) yasiyoeleweka kutoka TRA, hii ni mwendelezo wa kutokuwa makini au lilikuwa swala la kupika data, Kwa watendaji wa serikali, mbaya zaidi mchapisho haya yatabaki kama yalivyo huko twitter kwa sababu huwezi kufuta au ku...
  17. B

    Barabara za Dar na Makonda

    Dar es salaam imepanuka kuliko uwezo wa serikali lakini hayo hayazuii kuweza kuplan na kuweka mipango ya baadae mji umejengwa kiholela open space zimevamiwa bila hatua yoyote kuchukuliwa, nani alaumiwe, miundo mbinu haiendani na hali halisi Tumuombee mungu Magufuli ainyooshe nchi hii
  18. B

    Barabara za Dar na Makonda

    Mkuu nimepinga nn, tatizo tuna penda siasa zaidi, hii issue ni more technical kuliko kuita wenyeviti wa serikali za mitaa kutoa maoni ya kitaalam
Back
Top Bottom