Search results

  1. Mzee_2015

    Jifunze kifaransa kwa Kucheza!!!!

    Ahsant Mkuu. Kuna masomo mengine yapo hewani .(Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya Pili) - Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)
  2. Mzee_2015

    Jifunze kifaransa kwa Kucheza!!!!

    Weka juhudi zako utafanyikiwa Fwatilia somo lengine
  3. Mzee_2015

    Jifunze kifaransa kwa Kucheza!!!!

    Du courage !!!
  4. Mzee_2015

    Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya Pili)

    Wadau wa jadwali hili leo nakuja na somo jipya.Jifunze baadhi ya majina ya Matunda Na mboga mbali mbali kwa lugha ya Kifarasa.Kama wengi wenyu mlivyopendekeza ktk coments zenyu Nilizifanyia kazi kisha Nakuja na somo hili jipya. Hamna mtaalamu anae jitosheleza bila kukumbushwa au kukosolewa...
  5. Mzee_2015

    Jifunze kifaransa kwa Kucheza!!!!

    Naada Somo jipya .Naomba mapendekezo yenyu !!!!
  6. Mzee_2015

    Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)

    Karibu !!! ila ukihitaji msaada wa ziada Pm
  7. Mzee_2015

    Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)

    Anza practice kwa kusoma majarida ya mtandao na kuskiliza nyimbo kifaransa kitapnda
  8. Mzee_2015

    Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)

    Mbona unaongea kifaransa vizuri?
  9. Mzee_2015

    Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)

    J'ai pris note et j'ai revisé la prononciation....Merçi pour la correction
  10. Mzee_2015

    Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)

    Eleweka vizuri Bonny Unataka kujifunza nini? Pengine utapata msaada hapa
  11. Mzee_2015

    Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)

    Regarde dans la rubrique "JUKWA LA LUGHA" il y'a des sujet des cours d'Anglais à moins tu veux avoir un instructeur privé?
  12. Mzee_2015

    Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)

    USITULETEE MCHEZO (anzisha mada yako ya lugha unaoizungumza .
  13. Mzee_2015

    Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)

    Usijali Tunaenda mwendo mdogo mdogo !!!!
  14. Mzee_2015

    Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)

    Merci cosa nostra Tous ensemble pour ce combat.Tu seras la bienvenu!!!!
  15. Mzee_2015

    Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)

    Habar wana JF .Nimezingatia Maoni ya wadau leo nakuletea somo jipya.Wale ma "beginner"Karibu!!! ALPHABETS & PRONUNCIATIONS: - A- ahh B- bey C- sey D- dey E- eeh F- eff G- jhay H- ahsh I- ee J- jhee K- kahh L- ehll M- ehmm N- ehnn O- ohh P- pey Q- kwi R- aihr S- ess...
  16. Mzee_2015

    Jifunze kifaransa kwa Kucheza!!!!

    Sawa Nazingatia Maoeni yenyu wadau. Next Ntaanza na level ya chini kaissa pamoja na phonetics
  17. Mzee_2015

    Jifunze kifaransa kwa Kucheza!!!!

    Sio lazima uwelewe maana ya kila neno .Ndio maana tunasema unajifunza kwa kucheza .fwata mfano Niliokupa sentences zote zipo ktk affirmativ way unazibadilisha ziwe ktk interogativ way Mfano: Il est beau ce garçon.>>> Est-il beau ce garçon ?
  18. Mzee_2015

    Jifunze kifaransa kwa Kucheza!!!!

    Kama ww mpenzi wa lugha ya kifaransa Ntakuletea jinsi ya kutumia kifaransa sanifu kwa kupitia Michezo nyepesi na Masuala mbalimbali. Leo nakuletea Verb "ETRE" Badilisha Makalima haya yawe Masuali kwa kutumia vizuri verb "etre" 1 - Verbe être : Écris ces phrases à la forme interrogative...
Back
Top Bottom