Search results

  1. Wakuacha

    Nilikutana na mwanamke, kwenye uume kumekuwa na hali ya usaa

    Wakuu nashukuruni kwa ushauri wenu?, mambo yako vizuri nilipata mawazo ya ghafra nimekoma kudumbukiza dumbukiza ovyo, .
  2. Wakuacha

    Nilikutana na mwanamke, kwenye uume kumekuwa na hali ya usaa

    Hasara kubwa sana kaka, nipe uzoefu kaka nifanyaje na mimi uache kutoka.
  3. Wakuacha

    Nilikutana na mwanamke, kwenye uume kumekuwa na hali ya usaa

    Tatizo ni pale unafuta vizuri, na kutia dawa baada ya muda inarudi ngozi ya mfumo ule ule.. hapa ndo pananichanganya Kaka.
  4. Wakuacha

    Nilikutana na mwanamke, kwenye uume kumekuwa na hali ya usaa

    Sina namna ishatokea, cha msingi ni kupambana nipone then madem sitaki tena.
  5. Wakuacha

    Nilikutana na mwanamke, kwenye uume kumekuwa na hali ya usaa

    Sawa ngoja leo mpaka jioni ni cheki ili dawa niipotezee kwanza nibaki nasikilizia.
  6. Wakuacha

    Nilikutana na mwanamke, kwenye uume kumekuwa na hali ya usaa

    Habari Wadau, kama wasemavyo mficha maradhi kifo humuumbua, kwa namna moja huenda kuna mtu ashawahi kupitia changamoto kama hii anaweza nipa ushauri? Nilikutana na mwanamke baadae nikasikia hali ya muwasho, katika uume wangu nikaenda dukani nikanunua Azuma nikanywa, ila baadae kwenye kichwa...
  7. Wakuacha

    DOKEZO KAMCHAPE wanatutishia maisha Wananchi wa Buhigwe (Kigoma), tunaishi kwa hofu. Polisi wapo kimya

    Tatizo sio polisi kukaa kimya, shida ni wanasiasa wenu kukaa kimya kushindwa kukemea suala hili, hamna hata mmoja aliyetoka hadharani kulikemea wote wapo kimya, nashauri jeshi la polisi lisiingie kichwa kichwa kutumia Nguvu.
  8. Wakuacha

    Kituo cha Polisi Kitunda Mkoani Tabora kimechomwa moto na wananchi wenye hasira

    Polisi pigeni kijiji kizima, bila kufanya hivyo mtakuwa hamjatibu ugonjwa utaibukia sehemu nyingine.
  9. Wakuacha

    Usikubali kusaini nyaraka hii unapopekuliwa na Polisi

    Akatae kusign anapigwa na kosa la kukataa/kutokutii amri halali.
  10. Wakuacha

    Usikubali kusaini nyaraka hii unapopekuliwa na Polisi

    Hakuna Wakili hapo, Mbabaishaji uyo
  11. Wakuacha

    Usikubali kusaini nyaraka hii unapopekuliwa na Polisi

    Huyu ni Wakili kweli? Nina mashaka na uwakili wake!! Upekuzi umefanyika kwa kufuata taratibu na sheria halafu mtu akatae kusaini.
  12. Wakuacha

    Nimekutana na X-girlfriend wangu anataka tupeane raha

    Mwanangu we Mle!! kabla hajaondoka. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Wakuacha

    Busega: Mbunge Raphael Chegeni anagawa rushwa muda huu

    Kapicha vipi?, Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Wakuacha

    Nimejenga ujenzi rahisi kwa Milioni 7 tu

    Hongera aiseee kwa kujenga kinyumba Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Wakuacha

    Bila Rais Magufuli kuongea, Wapinzani huwa wanakosa cha kujadili mtandaoni

    Wapinzani huwa wanammiss sana Magufuli. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom