Search results

  1. Jamesmkude

    Mwenye experience na Nissan xtrail pliz anijuze uzuri na ubovu wake

    Gari ni matunzo. Namiliki hiyo Nissan X-trail mwaka wa 6. Mwaka jana engine ilisumbua badala ya kuitengeneza nikanunua used kwa 1m pale Ilala, juzi nimetoka shamba mkoani inachapa mwendo kama kawaida.
  2. Jamesmkude

    Elibariki Kingu: Kwa hili la RC wa Dar, naomba niwe wa kwanza kufukuzwa CCM

    Mhe lini una sign out maana ripoti ya Nape ilisomwa hadharani na kudhirisha uhuni wa Bashite
  3. Jamesmkude

    Hongera Tanzania National Parks (TANAPA) Will Smith atatusaidia!

    Nimeona mmeanza kumtumia vizuri Will Smith. Star kama huyo atatusaidia sana kututangaza. Hata majirani wanao tumia mgongo wetu kupata watalii watatulia. Lazima dunia ijue kuna tofauti ya Tanzania na Kenya. Kwenye vivutio vizuri ni Tz na kwenye mawakala wengi wa utalii ni Kenya!!
  4. Jamesmkude

    Huyu jamaa hayuko siriaz kabisa##

    So you are a GT?
  5. Jamesmkude

    Boti mpya ya azam marine yawasili Zanzibar leo asubuhi

    Ipo Bandarini wanataka ibadili route kutoka Magogoni-Masaki-Kawe-Ununio-Bagamoyo kwenda Magogoni-Mbagala.
  6. Jamesmkude

    Mheshimiwa rais ugomvi wako na serikali za mitaa haujaisha

    Ndio maana Africa haipigi hatua. Watawala wako tayari kuona wananchi wanateseka ili waendelee kubaki madarakani. Imagine walizuia maradi wa takataka kwa kuwa Manispaa ilikuwa chini ya Ukawa lakini sasa utafanyika kwa kuwa council ipo chini ya CCM, shame!
  7. Jamesmkude

    Tourism Board tumewaona Sunderland, Big up!!

    Tumeona Sunderland wakitangaza na kuhimiza watalii kutembelea Tanzania. Wadau tujadili kuboresha hatua hii.
  8. Jamesmkude

    Kuanguka kwa ujasiriamali mdogo katika Biashara ya utalii

    Hoja yako ina mashiko sana. Natamani wahusika walifanyie kazi suala hila. Ukiwa na gari zako mbili au tatu na una pata wageni wachache ni vigumu kuweza kulipa TALA $5,000 kwa mwaka. Ila kwa big fish kama Leopard Tours mwenye gari zaidi ya 200 na bookings nyingi kulipa amount hiyo ni rahisi...
  9. Jamesmkude

    Gari imeibiwa ikiwa na mtoto mdogo ndani yake maeneo ya Mbezi

    Nimesoma kwenye group ya WhatsApp gari ipo Mwenge wrong parking, aliyeleta TANGAZO toa ufafanuzi
  10. Jamesmkude

    Congo (1) vs Serengeti Boys (0): Serengeti Boys yashindwa Kufuzu Fainali za Afrika

    Rekebisha heading, Serengeti boys wametolewa!
  11. Jamesmkude

    Siri nzito ya Zombe na Bageni

    Hili ndiyo swali kubwa
  12. Jamesmkude

    Hongera Uhuru Kenyata

  13. Jamesmkude

    Kigamboni Blue Diamond of Tanzania project..

    Dr Ndungulile, tafuteni majibu ya ukweli. Lini hii project itaanza?????? Miezi mitatu iliyopita kulifanyika zoezi la kuweka X kuonyesha barabara mpya zitakapopita au zilizopo zitakavyoongezwa, sasa chakushangaza Jamaa hawajarudi tena kwa wananchi. Waziri Lukuvi naye aliahidi mwendo wa kasi...
  14. Jamesmkude

    Nafasi ya kuwa distributor

    Asante kwa opportunity ila Jamaa sio mzuri kwenye industry ya mtandao
  15. Jamesmkude

    Nafasi ya kuwa distributor

    Asante kwa ushauri. Kwa kuwa amejikita zaidi Dar angependa kuendeleza biashara hapa.
  16. Jamesmkude

    Nafasi ya kuwa distributor

    Salam kwenu. Nina Ndg yangu ana mtaji wa 70m anatamani sana kupata biashara ya kuwa wakala wa bidhaa inayofanya vizuri Sokoni. Naomba msaada wa mawazo. Anaishi Dar.
Back
Top Bottom