Search results

  1. Rahim Jr

    Masantula ngoma ya mpwito

    mshana jr kweli umerudi tulimiss masantula kama haya ha ha ha ha
  2. Rahim Jr

    Walimu waliotoa kipigo Mbeya, waonewa huruma na wizara

    Kwa hali ilivyokuwa huku mtaani, hata mimi nmewasameh na pia nawaombea msamaha kwani chini ya jua hakuna mkamilifu,isitoshe walimu wakiwa field madogo wanawachukulia poa .......
  3. Rahim Jr

    Ugumu huu wa maisha ni kwangu tu au hata kwako?

    te te te te Tupambane tu Mkuu hii hali yampito tu,tufunge mkanda
  4. Rahim Jr

    PICHA: Zamani zamani kidogo katika picha

    Dah kweli old is Gold.......asante Ndugu kwa kutukumbusha wakongwe
  5. Rahim Jr

    Ugumu huu wa maisha ni kwangu tu au hata kwako?

    Kikubwa kubuni vyanzo vipya vya kipato ili kuacha kutegemea mshahara hili ndilo la msingi kwa jinsi navyodhani ni kwamba mshahara kamwe hautaweza kukidhi haja zote na kufanya maendeleo Mkuu
  6. Rahim Jr

    Ugumu huu wa maisha ni kwangu tu au hata kwako?

    Kwangu kila siku bora jana Mkuu
  7. Rahim Jr

    Ugumu huu wa maisha ni kwangu tu au hata kwako?

    Wakuu amani iwe nanyi poleni na majukum ya kila siku. Class mate wangu ameniuliza swali kiukweli nmeshindwa kumjibu. Anasema tangu ameajiriwa miaka 7iliyopita hajawahi kuishi kwa kutegemea dili au rushwa kazini kwake,kipato chake ni mshahara tu.Sasa anasema kwa mwaka huu mambo yamekuwa magumu...
  8. Rahim Jr

    Hii picha ili kuliona vizuri, inabidi ufanye kama unafumba macho

    Hawa jamaa wametuzid sana huo ndio ukweli
  9. Rahim Jr

    Tusipotaka kumuelewa Rais Magufuli ni dhahiri hatutaelewa

    Naapa sijawahi ipenda ccm, Lakini utendaji wa Magufuli hakika namuunga mkono asilimia 100.kazi anayoifanya ni ngumu sana na dhahiri anapambana kwa maslahi ya wote....wachache hawata muuelewa ila muda utaongea. Nilichoshuhudia ni kwamba akiahidi kitu anatekeleza. kazi aifanyayo faida yake...
  10. Rahim Jr

    Siasa haipigiki marufuku, marufuku nayo ni siasa

    Mzee Tupatupa(LUMUMBA) hivi kweli kama huko chamani kuna watu kama wewe wenye mawazo chanya unadhani kuna mwananchi angewachukia kweli??? Binafsi mimi ni shabiki wako kwa style ya hoja zako...sisi ni wananchi wa kati ambao matamko na kauli mbali mbali zinagusa maisha yetu na sisi tunategemewa...
  11. Rahim Jr

    Nauza nyumba haijakamilika iko kwenye lenta eneo la Kibaha

    Samahani Mkuu kwa kuuliza hiyo ni ramani ya shule au kituo cha polisi maana aahhh......Au ndio hapa kazi Tu
  12. Rahim Jr

    Jinsi Rais Magufuli anavyowakandamiza wanyonge

    ACHA UNAFIKI WEWE UMEFIKAJE HAPA MTANDAONI???........Kwani kufanya kazi tumeanza leo?? mnaojidai mnafanya kazi wengi wenu mna njaa mpaka kwenye.......
  13. Rahim Jr

    Safi sana wabunge wa UKAWA

    Safi sana ukawa mnanikumbusha kipindi kile mwalimu kilaza akiingia darasani kufundisha somo asilolimudu tunapishana nae mlangoni Necta ikija wanaume tunapiga banda(A) waliokuwa wanabaki kumsikiliza wanapigwa miswaki tu(f)
  14. Rahim Jr

    POLL: Watanzania wangapi wameendelea kufuatilia bunge baada ya UKAWA kususia?

    A (ufafanuzi-sina mpango wa kuangalia tena na kupoteza muda bure bora nikaangalie NDONDO nitafurahisha nafsi yangu)
  15. Rahim Jr

    Bungeni: Goodluck Mlinga(CCM) atoa mpya... Adai Anatropia(CHADEMA) anamtamani kimapenzi

    Huyu jamaa sio kwamba anatania na sio kwamba anachekesha, Yaani hapo ndio upeo wake wa kufikiri umeishia hapo sasa unadhani atachangia nini??? Twendeni kwenye TanzaniaMpya. Hata waliomchagua wanaugulia kimya kimya.poleni sana wana Ulanga mmechagua Sanamu badala ya kiongozi
  16. Rahim Jr

    Bungeni: Goodluck Mlinga(CCM) atoa mpya... Adai Anatropia(CHADEMA) anamtamani kimapenzi

    Nashukuru kwa kulichukia hili dubwasha,(kama Maalim Seif anavyoliita)-Nachofurahi ugumu wa maisha haubagui wote ni kuisoma namba,shida, Njaa,Umasikini mbele kwa mble.Wajinga ndio wali wao.
  17. Rahim Jr

    Lugumi yazidi kunoga,hakutaachwa jiwe juu ya jiwe lingine

    TUPA TUPA -mzee wa Lumumba nakukubali kwa tabia yako ya kuwa mkweli,Hongera
  18. Rahim Jr

    TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

    Mungu ampumzishe anapostahili....ameen
  19. Rahim Jr

    Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

    PhD.......(shekhel yahaya) Huyu tayari tuambie nani anafuata???
Back
Top Bottom