Search results

  1. R

    Mjadala wa katiba mpya ITV; Mnyika, Tambwe Hizza na Dr. Mvungi

    tambwe namfananisha na wale "Dinosaurs" kama nimepatia spelling! mwili mkubwa akili ndogoo
  2. R

    Simu nzuri kwa Internet

    ulieuiza swali hope iphone ni best kwa mtandao, usiogope touch screen, ila ununue genuine iphone fake za kichina nyingi sana, 3GS 8gb ni 1.2m sapna! unadownload hadi movie!
  3. R

    What is your most interesting gadget

    11??? !! haya bana, huku ni tanzania muzeee
  4. R

    Natafuta Gari Saloon ya injini ndogo bei isizidi 4mil

    kama still un ahitaji na upo serious nimekupm
  5. R

    nahitaji toyota rav4

    kaka haipo namna hiyo hiyo gari ni 3300$, add 1080 shipping, km 600$ inspection etc,then weka duties na uchakavu hapo dar port, lazma itafika above 10m!unless nievade kodi!
  6. R

    nahitaji toyota rav4

    kaka huko majumuish ya bei yanakuwa juu sana! najua kwa 10m siwezi agiza toka japan hela kidogo hiyo
  7. R

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    kwanza kacheka sanaaaaaaaa!
  8. R

    Kutoka Ikulu: Baraza la Mawaziri kutangazwa J'tano (kesho)

    saaa 10:00 ndo hii weye ulietupa huu mda vipi huko?au wanachakachua maina tuje hapo getini kudai atangaze
  9. R

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    vipi masterbution nayo haimo? km haimo nini madhara yake kitaalam?
  10. R

    Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    pole sana dada, vipi kwa wale wanapatwa maumivu baada ya kutokewa na miscarriage? kwani unakuta mwanzo walikuwa normal ila baada ya miscariagge wanapatwa na maumivu sana na mimba haipatikani tena. wanaweza kutumia nini? samahani mimi na dokta mgemni kiasai katika fani nimekutana na hiyo case...
  11. R

    Mabere Marando awania Uspika kupitia CHADEMA

    sitaki kuamini ikwete na kampeni zoote, majivuno leo hii anafyata kwa naslahi ya lowasa,rostam na chenge, this is awkward and tremendous. kama kweli Mungu yupo JK hii awamu yako imeanza na failure kubwa sana na hutofika mbali kwa hali hii, nchi itakushinda. sio dua la kuku i mean it , and it...
  12. R

    Felix Mrema, Edward Lowassa na Rostam Aziz wamsupport Andrew Chenge Kupitia Bank M

    itajinyonga chenge akiwa spika na may be itakuwa mwisho wa ccm ya sasa na kuanzishwa live udkteta na kulipizana vsasi, apewe sitta, wabunge waeu shauri yenu msituangushe kuleni hela na Sitta apite hope hata JK anatamani sitta apite
  13. R

    Maisha BORA: Songea mfuko wa cement sh 20, 000 per bag!

    unaongea hujui nkodi wanazokata ktk hizi bidhaa, imekuwaje net ya sh 6000 inauzwa sh 500? mbona imewezekana acha kufikiria ndani ya box wewe, waza nje ya box pia na mawazo mgando acha, yeyusha akili hiyo
  14. R

    Maisha BORA: Songea mfuko wa cement sh 20, 000 per bag!

    kuna mtu pembeni yangu hapa ni mtu wa makamo kavaa kofia ccm, tshirt ccm ananiomba nauli aende nje ya mji kidogo hapa tanga, nkamwuliza wewe ulkuja kufanya nini town? kasema alijiandikisha huku na alikuja mpigia JK kura yake, na sababu yake ati ni kuwa waliambiwa waiokoe nchi na makafiri so...
  15. R

    Maisha BORA: Songea mfuko wa cement sh 20, 000 per bag!

    naungana mkono nanyie, atleast sisi wengine tunajimudu huu ndio ukweli tulikuwa tunalilia zaidi hao masikini zaidi, but wao wanadanganyika sana wakairudisha the dudu klinalowala, acha waumie hadi wajitambue, sionei mtu huruma wakalilie pale ikulu, mijutu masikini ukiiambia tuchange regime...
  16. R

    Elections 2010 Sherehe za kumuapisha Rais JK - Uhuru stadium DSM

    ???? !!!!!..***80(((^^@********!? umetumwa humu kaoge kwanza na uswaki
  17. R

    Elections 2010 Sherehe za kumuapisha Rais JK - Uhuru stadium DSM

    hapa wanafanya kama maigzo zaidi am not sure wapo serious, well kwa mtazamo wangu
  18. R

    Elections 2010 Sherehe za kumuapisha Rais JK - Uhuru stadium DSM

    why billal anaapa kwa katiba? yeye muhuni km kingunge ngombalemwiru? why hawaapi kwa quran
Back
Top Bottom