Search results

  1. T

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Duhh huyu binti anaweza kunihamisha timu hivi hivi...
  2. T

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    I don’t think if he meant the dreams against him....[emoji3]
  3. T

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    [emoji6][emoji41] Dahh umemaliza kazi! Ungekuwa Kenya ningekuuliza na kabila hadi ukoo...lakini kwa kuwa sisi Wabongo ni wamoja basi 🤜🏼 “One Love” [emoji1241]
  4. T

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Kwa mara ya kwanza nampata mtu tunae endana katika ushabiki wa mpira Bongo na Uingereza! Namtafuta ambaye tutakuwa sawa Hispania pia.
  5. T

    Sishauri Forker 50 na Forker 28 ziwe 'Branded' kama Ndege za Kibiashara za ATCL

    Umesahau baba la baba alishasema hata akihamia Idodomya anauza majengo yote jijini! Jengo jeupe najua atanunua mwenyewe kama kipindi ile ya NHC. Jamaa hataki kuchosha ubongo, kila anachofanya kinaweza kufanywa na mtu yeyote bila kushauriwa.
  6. T

    Esoteric: Uhusiano wa Zitto, JK, Salim A.S, Ridhwan, Omar Ilyas & then some Islams?

    Nimekubali analysis yako ndugu! Ni kweli upinzani ndani ya nchi yetu umekuwa ukidorora mara baada ya chaguzi kuu na kupoteza muelekeo wa kisiasa na kukosa uaminifu wa wananchi. Kuzorota kwa upinzani kunatokana na kuwa na viongozi pandikizi, vigeugeu ndani ya vyama pinzani ambao ndio...
  7. T

    Hii ni dharau kubwa kwa wizara ya mambo ya ndani

    Nafikiri suala hili linapaswa kukemewa kwa nguvu kubwa sana na iiwezekana huyu jamaa aadhibiwe kwa hata kuondolewa hapa nchini. Haiwezekani kwa namna yeyote ile huyu mgeni kuidharau serikali yetu kiasi hiki na bado wanaruhusiwa kutengeneza faida kutoka kwenye mifuko ya Watanzania! Halivumiliki...
  8. T

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Oya jamaa, acha mambo ya kipuuzi kwa sababu you don't seem to be a Tanzanian na kama wewe ni mtanzania basi nakushauri uanze kujifunza nini maana ya patriotism, kwa kuwa huonekani uchungu na wala fikra za kulitakia taifa lete maendeleo na si malimbikizo ya madeni. Na kama ungekuwa umetoka Kilosa...
  9. T

    Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

    Hawa jamaa ni wabishi, watoto wao huwa wanajitahidi kusoma lakini inakuwa si bahati kwao kufaulu, ila hata tukisema tuwaondoe kwenye madaraka mbalimbali ya serikali wanaweza kuwa wafanyabiashara wakubwa wenye makampuni makubwa na wakaanza tabia zao zile zile.
  10. T

    Elections 2010 Dr Slaa kwa mara nyingine tena Iringa

    Acha mambo ya ajabu wewe! Umefuatilia kujua ni sababu ipi alichelewa kufika Iringa ama unalipuka tuu. Fuatilia video yake hapo juu alafu utajua kuwa kila mahali wanamtaka kuwa Rais wa Tanzanania. Dodoma mpooooooo... Chagua CHADEMA.. Chagua Slaa :smile-big:
  11. T

    Elections 2010 Dr Slaa kwa mara nyingine tena Iringa

    Kwa wana CHADEMA haya ni mahojiano ya Dr, Slaa kwenye redio kule Iringa. CHADEMA tunatisha, Slaa ni kiboko yao. Ushindi ni wetu hata wakishakachua itawachuka wiki mbili kujitangaza washindi http://francisgodwin.blogspot.com/2010/10/livemahojiano-ya-dk-slaa-hivi-sasa.html
  12. T

    Ridhiwan Kikwete: Mimi si fisadi

    Haka kajamaa huwa kana mtindo wa kujipaisha.. Lakini mwisho wao ni Jumapili tuu..
  13. T

    Elections 2010 TEMCO 'yapigwa chini' kuangalia uchaguzi 2010

    Toka lini ukamkabidhi nyani akulindie shamba la mahindi!? Kama hutavuna mabua!! Tunasema mwaka huu ni wetu na Dr. Slaa ndie Rais wetu
Back
Top Bottom