Search results

  1. Bingwaman

    Nani mkali kati ya Diblo Dibala na Dally Kimoko

    Kwenye album ya Pepe Kalle ya Pon Mon Paka Bouge Diblo na Dally Kimoko wameshirikiana kupiga magitaa. Katika nyimbo ambazo Diblo kapiga solo basi Dally kapiga rhythm na zile ambazo solo limepigwa na Dally rhythm kapiga Diblo.
  2. Bingwaman

    CRDB Mmeniweza. Nahama benki

    Hiyo ATM inayotoa laki 6 kwa mpigo ni kiboko.
  3. Bingwaman

    Top 10 Aiports chafu Afrika: Dar es Salaam inashika nafasi ya nne

    Yaani ukishuka tu kwenye ndege unakaribishwa na harufu ya mikojo pale passport control. Dah!
  4. Bingwaman

    Top 10 Aiports chafu Afrika: Dar es Salaam inashika nafasi ya nne

    Kumbe Afrika kuna airport chafu zaidi ya kwetu?! Tuache utani. JNIA ni chafu sana jamani.
  5. Bingwaman

    Siku hizi kuna machangudoa Moshi?

    Moshi wapo sema sio kama Arusha ambako ni kama wamemwagwa mitaani.
  6. Bingwaman

    DSTV wamepandisha tena

    Hawa jamaa ni wezi.
  7. Bingwaman

    Unawafahamu namna gani hawa wataalam wa vibonzo?

    Chris Shola, mbunifu wa katuni ya Kishoka, ambaye ni msahaulifu kiasi kwamba husahau jina lake au nyumba yake iliko.
  8. Bingwaman

    Hii kero ya matrafiki Arusha imezidi

    Halafu ule mtindo wa polisi kusimamisha magari huku wakiwa na bunduki na wamevalia majaketi yasiyopenya risasi huwa unanishangaza sana. Hivi kuulizia na kukagua vitu kama leseni, bima na fire extinguisher ni lazima uwe na bunduki na jaketi lisilopenya risasi? Hii ni mbinu chafu ya kuwatisha...
  9. Bingwaman

    Aliniambia ana PHD ila nikimtumia sms za kingereza hajibu

    Msichana ana PhD? Au alianza darasa la kwanza akiwa na mwaka mmoja?
  10. Bingwaman

    Mwanaume hataki simu ishikwe pia anachelewa kufika kileleni

    Simu ya mumeo haikuhusu na yako haimhusu.
  11. Bingwaman

    Nimeanza tena kuvuta bangi

    Kwa raha zako.
  12. Bingwaman

    Huyu roomate vipi?

    Roommate.
  13. Bingwaman

    Nimemtongoza jana, leo anataka nimtumie hela

    Afadhali huyo anayeanza kwa kuomba hela ya kula. Wengine mmejuana siku mbili tu anakuomba hela ya kodi, tena ya miezi sita.
  14. Bingwaman

    Mhudumu wa baa na glass (utafiti huru)

    Wanajua usafi wa hizo glasi si wa kuridhisha.
  15. Bingwaman

    Mgomo wa daladala umeibua michepuko mipya na kufufua ya zamani

    Gupta ni jina la Kihindi, lakini nadhani ulitaka kusema guta (baiskeli ya magurudumu matatu ya kubeba mizigo).
  16. Bingwaman

    Gharama za Hotel / Lodges kwa Lusaka, Kitwe na Ndola

    Kama unataka kubana matumizi kuna kahoteli kamoja kanaitwa Mabvuto Inn kako mkabala na Uwanja wa Independence sehemu inaitwa Mandevu, jijini Lusaka. Hii ni guest house, baa na hoteli. Ni Uswahilini lakini kuna usalama na ni karibu sana na mjini.
  17. Bingwaman

    Doctors; Ndugu yangu anableed mwezi wa tatu(3) mfululizo

    Amepimwa kuthibitisha kama ana fibroids (uvimbe kwenye tumbo la uzazi)?
Back
Top Bottom