Ni vyema tukaangalia kwa undani masuala haya, tuache siasa, TALIBAN, AL QAIDA, AL SHABAAB, BOKO HARAMU, haya yote ni matokeo ya siasa, makundi haya yameanzia maeneo ambayo asilimia kubwa ya wakazi wake ni waisilam, kama ingekuwa tatizo ni dini nafikiri wasingeuana waisilamu kwa waisilam. Si...
Hata wewe unatakiwa kuangalia source ya al qaida ni nini? sababu kuu ni siasa na dominations, ukiangalia al shabab pia ni siasa, maana somalia asilimia kubwa ni waisilam kuna udini wa namna gani wakati wanauana wote waisilam? Afghastan wote ni waisilam, Boko haramu imesababishwa na siasa si...
tehe tehe tehe tehe tehe, kama ni mzalendo wa kweli aseme ni nani alisafirisha twiga wetu, story za Nape hazijengi, anataka kujiimarisha kwenye siasa, kama Nape anatumika inawezekana hata yeye anatumika.
Kukataa gari moja si kutatua tatizo, tatizo lilipo ni mfumo uliopo, uhajitajika muundo mpya wa kiutawala utakaoleta tija kwa maendeleo ya wananchi wetu. VX V8 moja kamwe haiwezi kuleta kitu, lazima uwepo umoja wenye nia moja ya kufika malengo yaliyo sawa. Kwa sasa tujiulize ni viongozi wangapi...
Kuhusu suala la maji, wananchi wana hoja kubwa na nzito ambayo inatakiwa kujadiliwa. Wilaya zote zilizoko kando ya ziwa zina shida ya maji kiasi cha dumu la lita 20 za maji kuuzwa kwa shilingi 500 hadi 700 ilihali ziwa liko kilomita 5 to 5 kutoka katika miji hiyo, ukerewe imezungukwa na maji...
Kati ya vijana waliopita katika hatua hii ni Elibariki Kingu, Fancy Nkuhi, Mrisho Gambo na William Malechela tuwaweke kwenye mizania tuone ni yupi anastahili kuaminiwa na Watanzania ili awawakilishe katika chombo hicho muhimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.