Search results

  1. G

    Nataka kuuliza ila naogopa!!!!

    Uliza hautatukanwa sana, itakuwa kidogo tu
  2. G

    Usharobaro enzi zetu

    Comparatively, aliyepinda zaidi ni mpiga picha! mi siwezi kupiga picha watu wakipozi kwa mtindo huo..... NAONA AIBU
  3. G

    Nape hoi hospitali, kalazwa

    Nape, wish you well brother!
  4. G

    Ndoa ya Irene Uwoya na Ndikumana yavunjika!!

    Napita, sitarudi
  5. G

    TAIFA STARS: Tatizo kocha au wachezaji?

    Nakubaliana na mdau mmoja aliyesema uzuri wa kocha unauona kipindi cha pili kwa sababu timu inakuja na mbinu mbadala ya kuwakabili wapinzani. Nachelea kusema wakati wa Maximo team ilikuwa inaonyesha mabadiliko/uhai kiuchezaji kipindi cha pili. SIYO SASA!
  6. G

    Chuo kipi kinawanawake wazuri na warembo

    Ukistaajabu ya Musa Utayaona ya FIRAuni
  7. G

    Joseph Kabila enzi hizo

    Siri ya Maisha iko kwa muumba TU. Nani alijua atakuja kuongoza nchi yenye utajiri mkubwa wa maliasili duniani?
  8. G

    Unapolazimika hata kama hujui...

    Njaa kitu kibaya - waweza fanya usichotegemewa!
  9. G

    Aunty Ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi Kigali-Rwanda

    Zama za utandawazi!!! Kila kitu WAZI........
Back
Top Bottom