Search results

  1. Maliasili

    Karibu kwetu; Ni Wauzaji na wasambazaji wa mbao

    Hello Kiwale, je hizi gum poles ni treated? Na hizi bei ni kwa mita moja au urefu gani? Na je hizi gumpoles huwa zina urefu gani kawaida? Na hizi bei zinaweza pia kutumika Kongwa?
  2. Maliasili

    Live:Kikwete amwagia sifa tele Jk Nyerere

    Going down memory lane - YouTube
  3. Maliasili

    PETE (hadithi ya mapenzi)

    Ni Frank au Victor? Ametajwa Frank mwanzoni na victor baadae. Nadhani Victor itatoa ubishi! Mwisho wa hii hadithi mmmmhh! Na tungoje
  4. Maliasili

    Barua ya polisi wa Uingereza kumtafuta Lema

    Hahah aaha aaha aha....si utukumbushe bibie? maana kumbaka Flora, daaah yataka moyo!
  5. Maliasili

    The Man behind 2PAC's Death

    Behind it Kuna CIA pia. Ili kumaliza bifu lililokuwa linapamba moto Kati ya east na west. Both were killed by CIA. Period! But the question is " why the 7th day theory apply to the death of 2pac? Refer the kiluminati album!! Think big
  6. Maliasili

    Hatimaye Rais Kikwete ausaini Muswada wa Katiba Mpya...

    utakuwa ule mpango wa Serikali kujipindua ndio upo kwenye process Tungoje ukweli, tuache tetesi kwenye mambo ya msingi. mleta nada amekosa kujiamini kwa maneno aliyotumia yanayokinzana "tetesi>>>uhakika>>za kweli>>>ngoja nitaleta source". Why usingetulia ukaleta habari kamili? Unadhani issue...
  7. Maliasili

    Mke anagawa ovyo...jamaa kaamua

    Wachaaaaa.... We utakuwa fundi haswaaa.... I like this reply, mia
  8. Maliasili

    Mke anagawa ovyo...jamaa kaamua

    Hii inaitwa "THE END"
  9. Maliasili

    Rai ya Ulimwengu - Tunadanganyana, Tunajazana Ujinga!

    TUNADANGANYANA, TUNAJAZANA UJINGA Na Jenerali Ulimwengu, NALAZIMIKA kurejea mada yangu ya muda mrefu, mada inayojadili jinsi tunavyofanya mambo kama watu wa kupita huku tukishindwa kuangalia masafa marefu kama Taifa linaloamini kwamba litakuwapo hapa hapa kwa muda mrefu. Wiki...
  10. Maliasili

    Hii ndiyo Kimboka By Night...!

    Ni kweli, pale Ujerumani kuna stripping clubs katika street ya makahaba mashuhuri na mashoga maarufu. Inafanyika kwa sababu sisi wanaume tunawachukua na tunawahitaji... Ni kama iliyo biashara ya utumwa tu, difference ni uwa after kupewa mambo kila mtu anachukua time yake. Jamii ina mambo na...
  11. Maliasili

    Wanashangilia mazingaombwe na wanasifia viini macho! ... Silly People!

    Imetosha MMM, Don't spark anymore!
  12. Maliasili

    Tanzania iliyoharibiwa sanaaaaa

    Sijui kama tutafanikiwa na hatimaye kuendelea
  13. Maliasili

    Le Mutuz auza sura kwenye Udaku

    Kweli wakuja ni wakuja tu!
  14. Maliasili

    Kibaka anapouawa, dunia imepoteza...!

    Daaah, Mtambuzi, only tears, ngoja niende job niendelee kuwasaidia ndugu zangu! Imenichomaaaa...!!!!
  15. Maliasili

    Msaada: Price range for SPORTS RIM fitted with a wheel of Suzuki swift (1.3)

    Salam wanabodi, Msaada kwa mwenye ufahamu juu ya gharama ya Sports Rim za Suzuki Swift 1.3 (Aluminium Alloy Rim) ikiwa full na tairi au hata rim peke yake. Naomba bei za wauzaji wa Tanzania. Wheel Type Alloy Wheel Size 15 inch Tyres 185/60R15 Natanguliza shukrani
  16. Maliasili

    Tuliosoma Shule ya Sekondari Tosamaganga tukutane hapa

    KWELI KABISA, Nilitaka kuandika hivi hivi, mpigaji alikuwa kasimama karibu na shule ya Msukanzi kama sikosei. na Idete shambani ndio lilikuwa eneo salama. mnakumbuka kipindi cha mapera idete na siafu? Tosa, was always the best place those days!
  17. Maliasili

    TANZIA Bob Makani afariki dunia

    Aah R.I.P Mzee Makani. Niliwish sana uishi na kuja kuona ukombozi wa nchi chini ya M4C! We will meet you there one day!
  18. Maliasili

    Mh Mdee wa Kawe anaongea Clouds

    Anazungumzia changamoto mbalimbali jimboni na nchini kwa ujumla na namna ya kupambana nazo. Kaanza na mapato na masuala ya ardhi katika Halmashauri Source Clouds FM Kipindi Jahazi
  19. Maliasili

    Ajali mbaya yaua 11 Mbeya

    Ajali Mbaya ya Toyota Coaster na Gari la mizigo leo Mbeya watu 13 wamefariki Dunia na Majeruhi 19. Dereva afariki hapo hapo. Basi aina ya Coaster lililo kuwa linatokea Mbeya kuelekea Kyela Muda mfupi baada ya Ajali kutokea Gari la Mizigo ambalo limehusika na ajali hiyo likiwa pembeni muda...
Back
Top Bottom